Manoah ni mfano wa Kuigwa JF

Manoah ni mfano wa Kuigwa JF

Kwa sababu nimekubali kwenda naye tanga. kwani kuna lingine unalolijua?
Hahaaa kwani una jeuri ya kuambatana nae?
Chezeya Invisible atakurudisha Server room then ye anabeba mtoto wanazama zao Tanga Beach Resort wakirudi ndio utaachiwa huru sasa.
 
Last edited by a moderator:
Ha ha haaaa! wewe Erickb52 wacha fujo, mie hapa ndo kigoma mwisho wa reli

Kwani nane ni wengi?
Hivi ushawahi muuliza anapojiita watu8 anamaanish nini?
Heheheheee isijekuwa ndio idadi ya Small na Big hausi ooh utajikuta we hata kwenye hao nane humo
Hahahahaaaa
 
Last edited by a moderator:
Mi kwenye chama hicho sipo kabisa, mi na my Lily Flower tuna chama chetu, wote ni wenyeviti na wote ni makatibu. sweetlady ni hausigeli wetu

Bora hata hoja yangu kuwa sio memba wa Penda Penda group inaweza ungwa mkono na watu....

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Mungi niko na sweetlady hapa anasema amechoka hawezi hata kutype mazoezi ya leo yalikuwa makali sana
Vin Diesel tatizo unajitetea sana kuwa wewe sio penda penda wakati kuna Mamndenyi na bado unamfuatilia sweetlady
Erickb52 naona hujakama uzi wangu kuwa wewe ndo mwenyekiti wa chama cha penda penda
nitonye ukishaanza kufukuzia tuu unaingizwa kwenye chama
 
Hahahahahahaa kaka unanirushia mpira tu....kura zimekuangukia wewe ila nasikia unataka kuspecialize kwa sweetlady sema dua za nitonye bado zinakusumbua.
 
Last edited by a moderator:
Nisaidie kaka yangu maana hali ni tete sana

Yan dada yangu Dena Amsi huyu Mr Rocky kashindikana...kila mwanamke anamtaka...kafikia hatua hadi Kipipi wangu nae anamtongoza mh kweli mwanaume unae.
Saa hizi yuko kwa sweetlady ananatana tu hata hakukumbuki na akitoka huko amahamia kwingine.
mh zidisha maombi au omba msaada kwa manoah
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom