nitonye
JF-Expert Member
- Dec 18, 2011
- 7,349
- 3,908
Hua kuna Bange na Bhange sasa sijui mwenzangu anamaanisha ipi apo, pili isitoshe mie situmii aina yoyote ya kilevi
yaani ile sigara kubwa a.k.a marijuana
Hua kuna Bange na Bhange sasa sijui mwenzangu anamaanisha ipi apo, pili isitoshe mie situmii aina yoyote ya kilevi
ndo unawataja kijanja eeenhHeheheheheee naogopa kutukanwa maana ni mabingwa wa mipasho sana lol
Aliyasema akiwa amevuta au?...No haya maneno haliyasemaga Chimbuvu
yaani ile sigara kubwa a.k.a marijuana
Hua kuna Bange na Bhange sasa sijui mwenzangu anamaanisha ipi apo, pili isitoshe mie situmii aina yoyote ya kilevi
Aliyasema akiwa amevuta au?...
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Hawatoweza, watakua wana nisafisha kila wafikiriapo wananichafua
huyo raia anapretend tu kwanza ni muharibifu wa mabinti wa jf na Erickb52 wake
yaani we usiseme kabisa muharibifu namba moja
Hawatoweza, watakua wana nisafisha kila wafikiriapo wananichafua
Dah Vin Diesel nitapeleka malalamiko jukwaa lile la malalamiko
Penda penda wa JF ni Erickb52 na Arushaone mi wala sipo huko muulize hata nitonye na Blaki Womani
sweetlady popote ulipo kamu zis wei bana mekumiss