@Manoah ndio wewe umekuwa hivi?

@Manoah ndio wewe umekuwa hivi?

mapera... Teh teh teh.... Pole xana... Vipi walikufanyaje walipokugundua? @Smilling saint

bahati nzuri wazee wote walikuwa ofisi moja, wakaongea wao na mie nikaja gombezwa sana baadaye kisha nikapewa "ndala" zangu. but twas a shame!
 
Umenikumbusha, si ndio ulichapwa hadi uka jinye@
ah ah ah ah mkuu manoah sikuwahi kuimbiwa kindumbwendumbwe labda ungesema siku nilipoenda nyumba ya jirani na kuiba mapera wenyewe hawakuwepo, niliposhuka nisahau kandambili chini ya mti, walipokuja wakanikamata kirahisi sana
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom