Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Mr Rocky usiku mwema
Duh manoah kumbe ndio hayo Smiling Saint tumekupata mkuu
Last edited by a moderator:
Duh manoah kumbe ndio hayo Smiling Saint tumekupata mkuu
mie napita tu, hata sijawaona
Hapo mwanzoni mwa miaka ya tisini tukiwa tunaishi kota. alikuja mtoto mmoja na kuanza kuelezea alivyomuona baba yake amelala bila nguo, mtoto huyo jina lake halisi simkumbuki na kwa kipindi kile alikuwa na miaka 3 au 4, na akawa akielezea alivyoona "nywele" za sehemu mbalimbali za mwili wa baba yake akisema:
"baba alikuwa amalala nkamuona manoah ya hapa ... (akionyesha hizo sehemu)na manoa ya hapa... na ya hapa..."
Tangu siku ile yule dogo tulimuita manoah
Sasa sijui ndiye huyu wa JF!? naona umekua!
Kweli huu mwaka wangu.........