@Manoah ndio wewe umekuwa hivi?

@Manoah ndio wewe umekuwa hivi?

debito huyo Smiling Saint yeye alikua kikojozi mkuu kota nzima

ah ah ah ah mkuu manoah sikuwahi kuimbiwa kindumbwendumbwe labda ungesema siku nilipoenda nyumba ya jirani na kuiba mapera wenyewe hawakuwepo, niliposhuka nisahau kandambili chini ya mti, walipokuja wakanikamata kirahisi sana
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom