Ha ha haaaaaaaa, ndo manakeeee!
Baba V itifaki izingatiwe hapa
Unaniitaje wewe manoah???
Teh teh teh.... Yeuwooo....!!!??? Kumbe watu munahistoria na majina yenu eenh....!!!!
40+ umefikisha kigezo Donn
40+ what? Sijakusoma hapo
Nipo njema, nw nipo DIT kuhudhulia utoaji tuzo za Best Sudent.
Bora na wewe umeliona, huyu Smiling Saint yeye utotoni alikua mrafi huyoo, kota nzima tukawa tuna mjua kwa jina la mtakatifu kula, Arabela mzima wewe?
me mzima sijui wewe
Woooow! Bomba maana ndio engineers tunaowatarajia
Una miaka arobaini na zaidi?
Ujue Katoroka katika mtego
duh... 40+!!!!? Bado sana... Ndo kwanza 20+