Manji sema usiposema...

Manji sema usiposema...

Duh!

Kama ni kweli basi atakuwa ni bonge la zumbukuku.

Hajui kuwa sasa kuna sheriff mpya hapa mjini?
Kama haihusiani na treason, basi itakuwa ni dili alilozoea kupiga na wakubwa flani pengine ndani ya jeshi. Huo muhuri pengine wakiutumia kuchonga mibarua.

Wanasema alikutwa na muhuri wa jeshi isivyo halali. Sasa hapo ni sawa na kusema muhuri huo ulikuwa ni halali wa jeshi ila kakutwa nao yeye isivyo halali. Scenario kama hiyo, lazima kuna conspirators.

Scenario ya tofauti ni kama aliuchongesha huo muhuri yeye. Ila hapo lugha ilitakiwa waseme ametumia muhuri wa bandia. All in all, uwezekano ni mkubwa kuwa ameshirikiana na watop flani na siyo issue iliyoanza leo,maana hivyo vitambaa si alikuwa anawauzia jeshi? Pengine muhuri ukitumika wakati wa kuchonga barua ya maombi?
 
Atueleze sare za jeshi kazipata wap?
Mm sishangai manji kukutwa na sare za jeshi yule ni mfanya biashara. Na tukumbuke serikali kila kazi zake zoote wanatangaza tenda bila mh. Magufuli kupiga marufuku inaa maaan sare zote zilikuwa zinashonwa na wazabuni mbalimbali so hawakutoa barua za kusitisha Zabuni walizozitangaza japo raisi alisema zifanywe na majeshi husika..hizo zilibaki tu labda hiyo mihuri ndo cjui..lkn ni kitu cha ajabu ht rim za karatasi ofisi za serikali mpk mzabuni alete kweli??hlf tunalalamika rushwa itaishaje
 
Inasemekana aliwahi kumjibu Dereva wa sasa kwamba hawezi kuongea na mbwa anaongea na mwenye mbwa. Sasa hatujui ndio analipia kauli zake sasa ama.laa
Tatizo hizi story zetu za vijiwe vya Kahawa.. Mimi niliskia aliyesema hivyo Z Hanspope baada ya malori yake kuzuiliwa mizani
 
Mali zimekutwa kwenye Maghala ya Quality Group, kesi kafunguliwa Yusuph ambae Officially alishatangaza kuachia Ngazi Quality Group na kubaki Mshauri tu!

Hii kesi ni Nyepesi sana Kama Mahakama zingekuwa zinaendeshwa kisheria sio Ki amri
Kama binadamu nafeel Empathy to Manji's situation. Kwa kweli kesi ya Drug Abuse imemuanika! Kila uchao kinakuja hili, huko Mbagala wananchi wa kata yake wanahudumiwa na nani?
 
Manji hakusoma nyakati!angejua yah kuwa system hii mpya inakuja ange tambaa zake
Any way Manji na baadhi Ya wanaccm wamepiga hela sana za serikali licha Ya kuwa alifadhili sana ccm,naona ccm wenzake wamemtupaaa kiainaa

OvA
 
Mwanasiasa mwanachama wa CCM na Diwani wa Kata ya Mbagala Kuu Yusuph Manji inawezekana ndiye Diwani pekee wa CCM ambaye anakumbana na misukosuko mingi sana katika siku za karibuni. Lakini watu kadhaa wanadai kwamba Manji anajua nini kinaendelea dhidi yake.

Kama nadharia kwamba Manji anajua kinachoendelea dhidi yake ni ya kweli, basi ni yeye mwenyewe ndiye mwenye uwezo wa kusema ukweli ni nini hasa kinachoendelea ili ajinasue kutoka wenye mtego uliomnasa.

Yanga, Coco Beach, Quality Group of Companies,siasa ama ni nini hasa!?
Ndege mjanja hunaswa na tundu bovu
 
Angekuwa kuwa ni mlalahoi ndiye aliyekamatwa na uniforms za jeshi bado mngeona kaonewa au kwa sababu ni tajiri ndio mnaona kaonewa?!

Tuache tabia ya kuona jela ni za maskini tu!!
Huoni kuwa Kuna ulakini ktk hayo mashtaka.....!!!? Ujue kuwa hivyo vitambaa na mihuli haijakutwa nyumbani kwake ni kwenye maghala yanayomilikiwa na kampuni, kampuni ambayo yeye alijivua nyadhifa zoote na kubaki kuwa mshauri tuu

Ikiwa itaendeshwa kihaki yeye hatokuwepo isipokuwa itadondokea kwa watendaji. Ila kwa kuangalia walivyoanza nayo inaashiria hiyo haki haitokuwepo
 
Kama binadamu nafeel Empathy to Manji's situation. Kwa kweli kesi ya Drug Abuse imemuanika! Kila uchao kinakuja hili, huko Mbagala wananchi wa kata yake wanahudumiwa na nani?
Barabara kutoka mbagala kuu shuleni mpaka kibonde maji ni utata mtupu. nasikia aliahidi akipata udiwani ataikarabati...bado kutimiza ahadi ya 'chama' kupitia udiwani wake.
 
Barabara kutoka mbagala kuu shuleni mpaka kibonde maji ni utata mtupu. nasikia aliahidi akipata udiwani ataikarabati...bado kutimiza ahadi ya 'chama' kupitia udiwani wake.
Bado wenzake kwenye "chama" wana haja naye?
 
Back
Top Bottom