Hekima Ufunuo
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 220
- 11
naelewa vizuri sasa msimamo wa power breakfast juu ya mafisadi papa na nyangumi
Labda ingekuwa vizuri ukatueleza kile hasa unachokiwaza kwani sidhani kama kuna ubaya wa Clouds kutumia jengo hilo huenda wamekodisha au wamefadhiliwa au kuna ubaya?
Nakubaliana na wewe maana kwa sasa hata habali zisizokuwa na uhakika tunalaetewa na kuambiwa ni ufisadino research no right to speak,hebu tuchunguze kwanza halafu tukipata uhakika tulijadili.
nawasilisha hoja,
Jengo lipi?
Jengo hilo lilikuwa la Tanzania Tea Authority ...Established in 1963 as Brookebond Tanganyika Ltd, managed by London based Brookebond group of companies until when it changed ownership to Tanzania Tea Blenders Ltd run by the Government through Tanzania Tea Authority (T.T.A).
In September 2002, the Government sold it to a private company which later changed its name to TANZANIA TEA BLENDERS (2002) LTD. Hapo ndipo lilipouzwa kwa Mkulu fulani ambaye alikuja kumuuzia Manji... Tegeni sikio...
Mwenye Data zaidi Pleeese...
Jengo ni la Clouds wenyewe na wala Manji hausiki, I was involved in the early stages when Joseph Kusaga (CEO) acquired that property! Tusifikiri kila mzungu ni padri kama kule kwetu kijijini!