Manji ni mmiliki wa Jengo jipya la Clouds Entertaiment?

Mkuu umejoin jf for this thread specifically nini? naona join date jun 2009...aminia..kuna kitu!!

Nina thread nyingi tu mkuu, na sijajoin specifically for this thread, jaribu kuangalia thread zangu! Mimi ni broker wa real estate, so kama ishu naijua nachangia esp in my field, ama kuna ubaya mkuu????????????
 
Mkuu umejoin jf for this thread specifically nini? naona join date jun 2009...aminia..kuna kitu!!

Ethics zangu za kazi haziniruhusu ku-disclose info za mteja wangu! Wewe former owner unamtaka wa nini? Au ulikuwa unamdai? Mfuate Kusaga atakusaidia.

Nina thread nyingi tu mkuu, na sijajoin specifically for this thread, jaribu kuangalia thread zangu! Mimi ni broker wa real estate, so kama ishu naijua nachangia esp in my field, ama kuna ubaya mkuu????????????

ExpertBroker unatuaribia shgghuli sisi raha yetu ni kuhusisha kila kitu na Manji au Rostam.
 
ExpertBroker unatuaribia shgghuli sisi raha yetu ni kuhusisha kila kitu na Manji au Rostam.

Nimekuelewa mkuu, lakini sidhani kama ni ni lengo hasa la JF kwamba kila kitu ni Manji na Rostam! Nachukia sana Mafisadi bt kama kuna uelewa wowote wa topic inayoongelewa nafikiri si kosa kuchangia! unless unasema ishu akishatajwa Manji na Rostam haitaji kupingwa, that we should all go positive that YES, YES, Manji is involved! Rostam is involved1, even though you know the real picture!!!

Au unamaanisha nini mkuu? Mfano naelewa kabisa kwamba mradi wa DarVillage ni wa Zadouk lakini unataka ulazimishe kwamba ni wa manji au rostam hata kama zadouk kakopa na ikaeleweka?

If it is a matter of dancing the tune, nashindwa kukusoma vizuri!

Nafikiri aliyeuliza alilenga kuelewa zaidi!
 
Kwani huyo Manji amekuwa nani kila kitu yeye hebu anayejua vizuri facts zake atueleze vizuri
 
Tukitaka kupata ukweli wa mambo lazima tuondoe kwanza tofauti zetu then tujadili halafu tuwerealistic
 
Ila naona huyu Manji kwa sasa hatufai tena kwani yeye Kisutu hana vigezo vya kupelekwa ili tufanye mambo mengine?
 
Huyu broker is so amazing eeh! join date ni Monday Jun 2009 that means yesterday na inaonesha amekwisha tuma post 16! mkali eeh karibu mzee uendelee kumtetea Manji lakni ujue tu no matter how deep you bury the truth it will always manage to surface!
 
Huyu broker is so amazing eeh! join date ni Monday Jun 2009 that means yesterday na inaonesha amekwisha tuma post 16! mkali eeh karibu mzee uendelee kumtetea Manji lakni ujue tu no matter how deep you bury the truth it will always manage to surface![/QUOTE]


Simtetei mkuu, naomba unielewe! Nilijitahidi kumjibu mhusika aliyetaka kujua ukweli wa mmiliki jengo la Clouds!

Naomba nikusaidie kitu kimoja Mheshimiwa sana KITOTO ambaye nafikiri mawazo yako ni ya KIKUBWA., Just simple nenda wizara ya ardhi kafanye search ya real owner of that plot. Unless kama JF imegeuka jamvi la kila mtu kujisikia tu anavyoweza kupindisha ukweli.

Nimtetee manji kwa lipi na ngozi yangu nyeusi hii na umasikini wangu wote? Ni bora hata ningekuwa mpenzi wa Young Sports Club kwamba ntafaidi japo ubwabwa!

Sikujua mtazamo wa watu wengi katika hili! had I knew that the issue is Manji or Rostam I wouldn't even have contributed anything! It is because I know the story behind the acquisition of the plot in question ndo maan nikachangia!
 
Manji hamiliki jengo la Quality plaza tena, ameshaliuza kwa PSPF kwa 36bn. yeye ni mpangaji tu
 
Back
Top Bottom