Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 10,929
- 20,167
Labda turudi 1900 mpaka sasa tuangalie uzalendo kwa vitendo ( sio kwa rangi)
Maendeleo yalofanywa na waafrika na wahindi..maendeleo yalogusa kila mtu....haya yakiwa secta ya
Elimu
Afya
Michezo
Kilimo
Makaazi
Ulipaji kodi zaidi
Misaada ya kibinadamu
Usafi wa miji
Tujadili haya kwa kujipima ...then ndo tuwanyoshee vidole...Ujiangalie umeifanyia nn tanzania sio kuchochea ubaguzi.
Kuanzia naanza na Muhimbili hospital imejengwa mhindi ..endelea upande wa pili
kwani waliijenga bure