Manji: Nchi yangu hainithamini

Siwi mbaguzi, lakini suala hili lazima serikali ya Magufuli iliangalie kwa umakini: Sehemu kubwa ya Utajiri wa Tanzania imeshikwa na Wahindi.
Hueleweki nani kakutaza na wewe ufanye kazi kwa bidii utajirike, au unataka utaifishaji urudi,wewe unaonekana kijana mdogo saana hukuona, tulifanya nini tulipopewa mashamba, majumba, biashara na mpaka mabucha ya nyama baada ya kutaifishwa, tizama pia yaliyotokea Uganda na Zimbambwe, hawa ni watanzania kama sisi na kizuri zaidi wanalipa kodi za serikali zinaleta maendeleo, wewe unataka utajirike ukikaa nyumbani cheza bahati nasibu.
 
Siwi mbaguzi, lakini suala hili lazima serikali ya Magufuli iliangalie kwa umakini: Sehemu kubwa ya Utajiri wa Tanzania imeshikwa na Wahindi.

Kweli kabisa,na inanikera! Kodi hawalipi
 
magufuli anamchukia sana Manji, sijui alimfanyia nini...manji amesaidia watu wengi sana mpaka club yetu ya Yanga

Yanga tena? Hivi yale mabaki yanayotoka baada ya mahindi kukobolewa yanaitwaje vile?
 
katika tukio moja mwaka flani katika utawala wajk na kitilya pale tra manji alishasamehewa kodi ya bilioni tatu kwa kutoa hongo ya milioni 800...hii story ilinishtua sana!
 
Huwa Na Washangaa Kuona Baadhi Wabongo Wakijenga Ukabila Kwa kuwalaumu Wachagga, Nyakusya Na Haya Tribe. Lakini Tangu Uhuru Hawa Watized Wenye Asili Ya Kiasia Na Kiarabu Ndio Wana Run Tized. Racist Mna Kazi Kuweza Kuona Big Picture.

Acha dharau na upotoshaji! Sio kweli kwamba wahindi na waarabu ndio wanaendesha uchumi wa Tanzania. Kundi hili limepata upendeleo kwa muda mrefu,tangu kabla ya uhuru na kuchukua fursa zote kwa gharama za watanzania wazawa.
 


Australia ni nchi inayopatikana asia lakini kihstoria ni nchi ambayo asilimia kubwa ya raia wa nchi hiyo ni hard criminals waliohamishwa kutoka nchi za ulaya kama uingereza.... mind you hawa raia wa nchi za ulaya si kwamba walikuwa na mahusiano ya aina yoyote na bara la asia ila walihamishiwa huko...

Hawa ndugu zetu wahindi kubali kataa wana mahusiano na watu ambao naweza kusema ni ndugu zao kutoka india... Na ndio maana wengi wao wana pasport zaid ya moja.... Hivi kwa akili zako timamu kila mwananchi akiwa na pasports zaid ya moja utasema kuna watanzania wa kweli wanaoheshimu katiba inayotamka uraia wa nchi moja...

haya ni baadhi ya mambo yanayonifanya nimuone huyu jamaa sio mtanzania....
 
Last edited by a moderator:

Asante sana Queen Esther,
Kuna watu hawayajui haya mambo, au sijui ndio kujitoa fahamu kwa sababu huwa wanatafuna tambuu na hao kina Manji.
 


Jibu swali acha mbwembwe
 
usitarajie mengi atakuwa na jema kwa manji hata siku moja. kwa sababu wanamgongano wa kimasilahi.

Ahame inchi,namjua kama mpigaji na mdhulumati ukifuatilia apeech ya mengi JPM hawezi muonea ivi ivi tuu kuna rafu apo.
Maana utajiri wote alionao ukiuliza kodi alipayo sasa ndo unaweza zimia
 
Queen Esther unataka kuniambia kwamba viongozi wa CCM huwa wanashinda kwa kununua kura? Halafu huyo Manji kwa nini awanunue wapiga kura wa UKAWA badala ya kuwanunua CCM wanaopitisha jina la Mgombea U-meya? Mbona unataka kujenga picha kwamba wanunua kura wapo CCM ila kura zinazonunuliwa zipo UKAWA? Kwa nini Manji asinunue kura za wana CCM wenzake?
 
Last edited by a moderator:

Usiseme sana kwani alikuwa anaaamua mwenyewe kufanya hayo au kulikuwa na mfumo unaoruhusu na kulinda hayo! Manji ni zao la serikali ya ccm,mfanya biashara anafuata mfumo wa serikali iliyopo.
 
Ili uamini wahindi wa nchi hii sio watanzania.. katika kipindi cha uchaguzi mkuu asilimia kubwa ya wahindi walikuwa wanajiandaa kurudi kwao kama nchi ingechukuliwa na upinzani..(hii ni according to them)... nakumbuka hotuba moja ya magufuli alisema " Ndugu zangu wenye asili ya asia nipeni kula zenu achaneni na propaganda kuwa mtarudi kwenu kama nikishinda uraisi"

Mtu kuwa na mawazo hayo ni sababu tosha wewe sio mtanzania.... mbona maswali hayo hakujiuliza mchaga,mfipa au mzaramo.... Hawa na makibila mengine ndio watanzania...

Kama utaniita mimi ni racist poa ila hata bendera ya taifa ya nchi hii hakuna rangi inayoonesha uwepo wa hawa wadudu...
 
MENGI nae achunguzwe kwa udalali wake kwenye MIGODI na km ni mlipaji wa kodi
 
Jamaa rafiki yake mkuu ni mshindi wa pili nyuma ya jpm. Mchafu tu ni jipu tu.
 
Jibu swali acha mbwembwe
Ili swali liwe swali unajua kuwa ni lazima liwe na vigezo vyake. Kuna swali gani sijalijibu? Mimi ndiyo nimewaulizeni nyinyi mtaje vigezo vya mtu kuwa Mtanzania mpaka sasa hakuna jibu. Somji Juma katoa maelezo ya kujikanganya kuonesha kwamba kuna mtanzania na raia wa Tanzania, ambayo mimi nayashangaa sana. Hivi unaweza kuwa Raia wa Tanzania na usiwe mtanzania? Semeni basi sifa za mtu kuwa "Mtanzania" na mseme kuwa Manji hana sifa hizo!!

 
Last edited by a moderator:


SABABU ZA MANJI NA MAKANJUBHAI WENZAKE KUTOKUWA WATANZANIA

1. KATiba ya nchi yetu inatambua uraia wa nchi moja.. Hivyo basi ni lazima uwe na pasport moja.. Ila hawa wenzetu sio manji tu wana pasport zaid ya moja kinyume na katiba ya nchi inayotambua uraia wa nchi moja

2. Narudia tena Tanzania hakujawahi kutokea kabila likaitwa WAHINDI...Niambie mkoa wanaotoka wahindi... Tanzania kila kabila lina mtani wake wa kikabila kama vile Muha na mhaya au mjaluo... Msukuma na watu wa pwani...
niambie Hili mnalosema kabila la wahindi mtani wake nani kikabila... Kupitia mahusiano haya ya kikabila ndio chanzo hata cha kuoweana.. Sasa nikuulize wewe umeshawahi kuhudhiria ndoa ya Ndugu zangu waluguru na mhindi...
 
Last edited by a moderator:
Acha upumabavu yule ni mhindi....watu wa Mbagala wamempa uDiwani sababu aliwapa elf 10 kila mmoja wewe unaweza kwenda INDIA ukapewa uongozi...

kuwa mstaarabu wewe kijana hapa sio facebook unatoa maneno machafu .....sisi wazawa haya mambo ya ubaguzi tulishayaweka pending tulishaona mbali yanatukosesha maendeleo! sasa wewe umeanza kuyakumbushia ili iweje? fanya kazi fanya kazi acha ubaguzi usiokuwa na profit yeyote kwetu
 

Acha kua kama haujaenda shule huwezi kumkumbatia mtu kisa eti atahama na ajira? ajira ni kitu gani? nani umeshawahi kusikia kwamba amekufa kisa hana kazi? kwanza ajira zipi unazozizungumzia kua specific au hizi kazi za kipuuzi za wahindi waoajiri vibarua miaka nenda miaka rudi...
 

mkuu thanx kwa maelezo mazuri big up...nikweli our presi hamchukii mtu yeyote yule..yeye anachoangalia ni haki! lakini kuna mijitu humu inajifanya wajuaji sana wameanza kuleta maswala ya ubaguzi! jamani sisi watanzania lini tutaelimika kama ndio bado tunaendekeza haya mambo..hebu tuwe wastaarabu kidogo! ni hayo tu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…