Manji: Nchi yangu hainithamini


Mkuu
Nadhan wewe utakuwa Mhindi, sio bure
 

Kwa hiyo unakubali Kama hao waajiri wako magabacholi ni wabaguzi!?
After all haujajibu maswali yangu. Tusitetee upuuzi na upumbavu wa hawa watu. Walishazoea kufanya Tanzania ni shamba la bibi na kujiona wako juu ya sheria. Well huo wakati umepita sasa. Muulize Huyo Bosi wako Manji anaishi wapi!?
 
Kama anaona nchi haimthamini, naye aache kuithamini; aache kabisa kuifadhili Yanga na aache kuchangia hela ktk kampeni za chama chake, maana hakuna namna
 

Mahesabu yake yamegonga mwamba alilenga umeya na si udiwani kama unavyojua.
Mungu ni mwema katuepusha na huyu jamaa maana angejimilikisha dar yote lait kama angekuwa meya.
 
Mkuu
Nadhan wewe utakuwa Mhindi, sio bure
Mkuu,
Nadhani atakuwa ni Mhindi wa Kabila la Kitanzania Kama alivyodai hapo awali juu ya Bosi wake Manji eti kwamba ni "Mtanzania wa Kabila la kihindi".....seriously !!!!!!!!!!
 
Kazi yake kupora maeneo ya watu kapora la bakwata kwa kuhonga mashekhe wa bakwata sasa ameona haitoshia kahamia adi kwenye maeneo ya wanyonge
 
kwenye EPA Manji si ndo alipiga mpunga na ile kampuni ya Kagoda ama?
 

nimecheka sanaaaaaaaa
 

umeongea point sanaaaaa
 
Enzi za kujuana juana na kujifanya Mungu mtu.Ziilishia kwa Mzee wa Msoga!! Kasahau slogan ya serikali ya awamu hii.mukumbusheni.
 
magufuli anamchukia sana Manji, sijui alimfanyia nini...manji amesaidia watu wengi sana mpaka club yetu ya Yanga
Yanga hata uwanja wa mazoezi hawana.ni kombe gani la maana yanga wamechukua.yanga imemsaidia manji.alikua hajulikani pamoja na mihela yake
 
Mm nadhani Mh! Rais alishamueleza waziwazi kuwa serikali IPO. Tena ya JPM. Sasa sijui kiburi anatoa wapi cha kujibizana na Rais.
 
Tatizo watu mnamjadili Manji kwa kutumia lensi ya asili yake na hii inaonekana kwenye kauli za kibaguzi kwenye maoni ya baadhi ya watu. Sidhani kama baadhibya comments humu zingebaki kama zilivyo iwapo Manji angekuwa na asili ya udengereko, unyakyusa au nyingine yoyote ya weusi.
 
Project gani kubwa ameshawahi kufanya huko duniani mpk wamthamini?
 



Hujielewi wewe kwan marekani hakuna black tanzanians wanaochakarika... kuwa muhindi mtanzania sio justification ya kutoguswa unapotenda mabaya.. Kama hujui uchafu wa huyu jamaa ni bora ukae kimya...

Asilimia kubwa ya hao mnaowaita watanzania wenye asil ya india wana pasport zaid ya moja kwa maana nyingne ni raia wa nchi zaid ya tanzania yetu... Manji mwenyewe ana pasport nne... Sasa mtu kama huyu unadhan ana mapenzi ya dhat na sisi watanzania na nchi yetu.. ndio maana yupo kipigaji tuu
 
Nchi haimthamini baada ya kula tenda la power tiller na matrekta na mzee wa wapigwe tu
 
Uhindi wala weusi si Utanzania. Mimi nitaendelea kuamini kuwa Manji ni mtanzania kama nilivyo mimi!! Huo ubaguzi wenu wa rangi wengine hatuwezi hata kwa bahati mbaya kuuvumilia. Huo ni UKABURU na ni lazima tutapigana kuutokomeza!!

Jibu hoja acha maneno yenye tope la mavi ya kuku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…