barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,811
Nimeliona nami hilo yangazo, Nimeshangaa kasema pia yeye ni mwenyekiti wa Yanga yenye MASHABIKI MILIONI 30, milioni 30? Wa simba ni wangapi na watoto ktk hiyo sensa ya mil 40 ni wangapi? Eti milioni 30! Hovyo.Kuna tangazo linarushwa Clouds, Manji Diwani wa Mbagala kuu ameonekana akilalamika sana juu moja ya kampuni yake kuhusu uendelezaji wa ufukwe Coco Beach. Ameeleza mengi mpaka suala la Magomeni.
Ameeleza mafanikio yake kupitia kampuni yake ya Quality Plaza na dunia inavyomthamini. Ila amesema nchi yake haimthamini.. Sijajua nini maana ya Manji kusema nchi haimthamini, anakusudia nini Maana nchi ni watu na viumbe..
Anasemaje sisi watanzania hatumthamini wakati tumempa udiwani Mbagala na tumempa uenyekiti Yanga.
Naomba Manji atupe ufafanuzi ni nchi haimthamini au viongozi ndio hawamthamini?
Atueleze vizuri..
Mimi sio mbaguzi ila angekuwa anaitwa Manji Kilewella ningemuelewa...binafsi simthamini we nenda pale quality Plaza uone vioja tozo ya pango ya bei ya chini kabisa ni Dollar 2175 in three months kwa tule tuvibanda twa Sq.M 2.5@Elli ndiyo Tanzania ni nchi yake kwani ana uraia wa nchi nyingine? Kuna tatizo la watu kuwaza kwamba wahindi siyo watanzania. Ni bahati mbaya sana!!
Uhindi wala weusi si Utanzania. Mimi nitaendelea kuamini kuwa Manji ni mtanzania kama nilivyo mimi!! Huo ubaguzi wenu wa rangi wengine hatuwezi hata kwa bahati mbaya kuuvumilia. Huo ni UKABURU na ni lazima tutapigana kuutokomeza!!Wewe ni jipu mkuu. Kwani haujui Kama Wahindi huwa wana passport zaidi ya mbili au tatu !? Au nenda India ukagombee hata kuwa Mwenyekiti wa wauza Tambuu au magazeti uone Kama utapata!
Kuna tangazo linarushwa Clouds, Manji Diwani wa Mbagala kuu ameonekana akilalamika sana juu moja ya kampuni yake kuhusu uendelezaji wa ufukwe Coco Beach. Ameeleza mengi mpaka suala la Magomeni.
Ameeleza mafanikio yake kupitia kampuni yake ya Quality Plaza na dunia inavyomthamini. Ila amesema nchi yake haimthamini.. Sijajua nini maana ya Manji kusema nchi haimthamini, anakusudia nini Maana nchi ni watu na viumbe..
Anasemaje sisi watanzania hatumthamini wakati tumempa udiwani Mbagala na tumempa uenyekiti Yanga.
Naomba Manji atupe ufafanuzi ni nchi haimthamini au viongozi ndio hawamthamini?
Atueleze vizuri..
Huwa Na Washangaa Kuona Baadhi Wabongo Wakijenga Ukabila Kwa kuwalaumu Wachagga, Nyakusya Na Haya Tribe. Lakini Tangu Uhuru Hawa Watized Wenye Asili Ya Kiasia Na Kiarabu Ndio Wana Run Tized. Racist Mna Kazi Kuweza Kuona Big Picture.
Kuna mtu analazimishwa kwenda kupanga? Halafu matumizi ya Dollar wengine tumeyapigia kelele mpaka tumechoka. Wakati mwingine tunaambiwa uwezo wetu wa kufikiri ni mdogo. Kama anapangisha kwa Dollar na wanaoendesha serikali wanaona sawa basi tatizo liko wapi?binafsi simthamini we nenda pale quality Plaza uone vioja tozo ya pango ya bei ya chini kabisa ni Dollar 2175 in three months kwa tule tuvibanda twa Sq.M 2.5
Yeye anatuthamini?
Uhindi wala weusi si Utanzania. Mimi nitaendelea kuamini kuwa Manji ni mtanzania kama nilivyo mimi!! Huo ubaguzi wenu wa rangi wengine hatuwezi hata kwa bahati mbaya kuuvumilia. Huo ni UKABURU na ni lazima tutapigana kuutokomeza!!
Nitakuuliza maswali kadhaa naomba majibu mkuu.Uhindi wala weusi si Utanzania. Mimi nitaendelea kuamini kuwa Manji ni mtanzania kama nilivyo mimi!! Huo ubaguzi wenu wa rangi wengine hatuwezi hata kwa bahati mbaya kuuvumilia. Huo ni UKABURU na ni lazima tutapigana kuutokomeza!!
Baba wa Taifa Mal.JK Nyerere(RIP)wakti wa uhai wake aliwahi kusema ukianza dhambi ya Ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu huwezi kuacha.Mwl.akasistiza kama mkiifanya dhambi hiyo itawatafuna na akasistiza kwamba na IWATAFUNE!
Nyerere hakuwa mpuuzi kama Mitanzania mingine na hasa viongozi wa sasa wa CCM!Hivi kwanini Nyerere alimteua Waziri wa FEDHA WA KWANZA MHINDI Ndugu AMIL JAMAL?????Je,Nyerere hakujua ubaya wa Wahindi???Tell me you poor Tanzanians!
Nchi inaendesha kwa kufuata utaratibu, kanuni na katiba yake.Na kama unaenda kinyume na lazima uwajibike kwa mujibu wa sheria inavyotaka.
Na hukuna yeyote aliye juu ya sheria, kama na yy amekosea lazima sheria ifuate.Isiwe kama mkuki kwa nguruwe tu na si kwa binadamu!
Ubaguzi ni kama ugonjwa, humpata mtu yeyote yule. Waulize watu wanaosoma masomo ya Jamii kuhusu saikolojia ya watu wachache (Minority) dhidi ya watu walio wengi kwenye eneo husika.Nitakuuliza maswali kadhaa naomba majibu mkuu.
A) Tembelea kwenye makampuni mengi ya Wahindi,Je hakuna ubaguzi wa wazawa huko?
B) Kwenye maghorofa Yao ya makazi huko Upanga na kwengineko hakuna ubaguzi katika upangishaji!? Hili limeshamkuta mdogo wangu.
C) Kama wao ni wabantu kwa nini wasikubali tuwaoe madada/mabinti zao!?
D) Katika shule zao (ie: Al muntazir etc) unajua ubaguzi unaoendelea huko!?
E) Umeshawahi kwenda BOA BANK!? Huduma kwa Golo zikoje!?
F) Unajua maana ya neno GOLO!? Wanatumia Wahindi kutuita sisi Watanzania wazawa.
@Elli ndiyo Tanzania ni nchi yake kwani ana uraia wa nchi nyingine? Kuna tatizo la watu kuwaza kwamba wahindi siyo watanzania. Ni bahati mbaya sana!!
[/Q
hakuna watu ninaowachukia hapa dunian kama wahindi... kafanye nao kazi ndio utajua hawa wana instincs za kuitwa watanzania.... Unadhani kwa nini mwalimu aliwahi kuwatimua hawa watu
ni bora hata joka la makengeza linatuchinjiaga ng'ombe tunakula nyama