Manji: Nchi yangu hainithamini

laana ya Mengi ina mvaa huyu kenge.Alidhani atanunua waswahili hadi lini?Hakujiwekea mipaka?
 
Tuwe wakweli, ufukwe amevamia au serikali imemwuzia yenyewe halafu sasa wanataka kugairi?
 
Rudi kwenu Burundi haraka sana..eti athiri! Ni Asili.



Si ndio haya majipu tunayozungumzia mkuu. Jitu hata Kiswahili halijui eti linajiita Mtanzania.


We unasumbuliwa na laana ya marehemu bwana wa mama yako aliemfumania mama yako na house boy wenu kutoka kisumu... Maandazi wewe
 
Manji fukwe zipo nyingi sio lazima coco beach.

ile dhamira ya manji kutaka apewe coco beach yeye na wanyonge wanyanganywe ndiyoinayomvua thamani. hata hiyo kukimbilia udiwani wa mbagala kwa gia ya kuwapenda wanambagala ina sintofahamu. kwa nini hakwenda kwa wajanja huko msasani au ubungo?
 
huyo karopoka tu hajui lolote, kama manji kahujumu ni sheria ipi inazuia asipelekwe mahakamani...

Utashi ule ule wa DHAIFU kutowapeleka wezi wa EPA na wauza madawa ya kulevya mahakamani; je wewe unajua kuwa Manji alikuwa mmoja wa wale waliohusika na ukwapuaji wa EPA?
 
Ngoja niwe muwazi tu kwa kuwa msema kweli ni mpenzi wa Mungu,na kwa kweli nikisema kweli nitaitendea haki roho yangu.Nawashangaa sana Watanzania wanaowapa Wahindi au Waarabu uongozi wa aina yeyote,iwe uenyekiti wa Yanga au hata ubunge na udiwani.Kwani waswahili wenzetu hatuwaoni.Hivi mantiki hasa ni nini,kwamba watakatiwa vipesa kidogo au nini.Hawa watu kwanza ni wabaguzi na wana dharau sana.Hivi waswahihili hatujifunzi kutokana na ushahidi mdogo mdogo tu.Waarabu au Wahindi wangapi wameolewa na Waswahili.Hivi unaweza ukapewa ubunge au uongozi wowote India au Saudia kweli.Tutawaaminije hawa kiasi hicho mpaka tuwape dhamana ya kutuongoza?Sio mbaguzi,lakini siwaamini kihivyo.Kwanza hawa jamaa wanatafuta uongozi ili waweze kufanikisha uovu wao wa kibiashara na maslahi yao binafsi.Nia yao hasa sio kutusaidia katika maendeleo yetu.Ni lazima tuamke.

Baada ya kuyaweka hayo bayana sasa nimzungumzie Manji binafsi.Manji alitaka watanzania wamdhamini au wampende kwa lipi hasa.Kwa kushirikiana na viongozi wasio waadilifu kutuibia?Nani asiyemjua Manji,labda zezeta.Nirudie tena,nawashangaa hata hao waliomchagua kuwa diwani.
 
Allen Kilewella njoo ujibu hili Swali ....Jamal alizikwa wapi!?

Amir Jamal alizikwa Canada lakini Dereck Bryson alizikwa Tanzania [ majivu ya mwili wake yalitupwa bahari ya Hindi hapo nyumbani kwake Msasani]; Al Noor Kassum bado yupo hapo Msasani!!!
 
We unasumbuliwa na laana ya marehemu bwana wa mama yako aliemfumania mama yako na house boy wenu kutoka kisumu... Maandazi wewe

Mkuu,
Mimi nilikuwa nalizungumzia Hilo jamaa lilioandika Athiri badala ya Asili.
 
Amir Jamal alizikwa Canada lakini Dereck Bryson alizikwa Tanzania [ majivu ya mwili wake yalitupwa bahari ya Hindi hapo nyumbani kwake Msasani]; Al Noor Kassum bado yupo hapo Msasani!!!

Mzee Noordin Kassum haishi msasani mkuu....anaishi Mikocheni.
 
Kuna shida sana katika kufikiri kwetu....kama USSR walianguka ilhali KGB na nguvu zake zote walikuwepo sababu ya watu kukosa mahitaji ya muhimu na kuichoka dola, basi hawa wanaofikiri wanaweza kufanya lolote bila madhara yoyote nao pia waangalie. Rais JPM amekuwa muungwana. ...ametahadharisha mapema watu wasipate matatizo. ...yeye sababu ameona anaongoza wengine kwa remote anafanya mizaha na wananchi. ..ni tatizo
 
Ni Al Noor Kassum na sio Noordin !! UKo sahihi anaishi Mikocheni!

Jina lake la kuzaliwa anaitwa Noordin Kassum mkuu. Hilo Al Noor alikuja kulitumia baadae maishani mwake.
 
Hebu tupe darsa kidogo ya historia ya tanzania...
Tufahamishe wahindi na waraabu walikua vp kabla ya uhuru...
Tunasubiri ya maalim

hahahaha mkuu hawezi kukujibu huyo, will retain only insulting
 
Shekhe ponda anahamu na wewe kabisa sijui kitu gani uliwapa mashekhe wa bakwata mpaka wakamchukia Shekhe ponda . wewe sio kabisa na unafahamu kwanini ponda mlimfunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…