Manji na Gwajima wamelala mahabusu ipi?

Manji na Gwajima wamelala mahabusu ipi?

Omba tu mungu hao akina manji wasitake kumshtaki huyo makonda, utakuja kumuonea huruma. Umeona wapi vita vya madawa unayasoma majina kama matokeo ya mtihani?
Zitto alinifurahisha Sana aliposema mtu ametoka na karatasi ya kufungia vitumbua na kuanza kutaja majina!
 
Katika kuweka kumbukumbu sawa. Gwajima n Manji walitolewa kwenda kusiko kusiko julikana na ile land cruiser nyeupe mida ya jioni n walirudishwa mida ya saa 4 usiku walilala hapo hapo central. Kuna wanachama wa Yanga walishinda n baadhi kulala hapo hapo central na mmojawao namfahamu na jana pia walikuwa hapo siku nzima. Manji alilala central. Period
Safe house au central?

Nadhani walilala walikoenda kufanyiwa dope testing.
 
IMG_1486823156.727329.jpg
 
Gwajima alipelekwa kwa mkemia mkuu akapimwa, kesha akaenda kusachiwa nyumbani mwake salasala. Baada ya hapo alirudishwa central saa 4 usiku kwa mahojiano zaidi. Kwa maana hiyo alilala central. Source sponsored insta add ya gwajima
 
Jana baada ya mwenyekiti wa club ya Yanga na mfanyabiashara mkubwa Yusuph Manji, na mchungaji Gwajima kuwasili polisi central, tulishuhudia badae wakiondolewa kituoni kwa gari nyeupe. Leo mchana kamanda Siro ametoa taarifa kuwa bado wanashikiliwa kwa mahojiano. Binafsi sijaelewa imekuwaje hawa wakapelekwa mahabusu kimya kimya? Na wapo mahabusu ipi?


UKISHAJUA WAPO MAHABUSU IPI ITAKUSAIDIJE KIMAISHA? CHANGAMKIA MAISHA YAKO ACHANA NA YASIYOKUSAIDIA. MAMLAKA ZINAFANYA KAZI YAKE, KAMA WANAHUSIKA SHERIA ITACHUKUA MKONDO WAKE, KAMA HAWAHUSIKI WATAACHIWA, BYE
 
Back
Top Bottom