Manji kuinunua Nakumatt

bashitee bwana kwani siku zote alikuwa halipi kodi mbona ulimtaja kuwa anavuta madawa ya kulvya na hamjawahi kumshitaki kama halipi kodi mbona unabadilisha mada baada yakuwakaza ukutani mzee sema tu poo Manji na umrudishie lile range rover lake umedhulumu unaweka plate yako mzee kabla halijakulipukia ukabaki majivu mzee
Tamaa ya viongoz(Bashite) kumiliki vilivyo juu ya uwezo,vinaliaibisha TAIFA
 
Hawa washamba ambao wametoka kwenye familia za kimaskini ni shida tu! Yaani wana mawazo ya kimaskini kuliko. Nimetoka kwenye familia ya kimaskini, lakini sina aisee mawazo ya kimaskini kama washamba wanaoongoza nchi.
Ha ha ha....watu wengi humu JF wanasema masikini wanachukia matajiri inaonesha humu matajiri wengi sana.
 
Amesema katika awamu yake wafanya biashara watafurahia kufanya biashara kuliko kipindi kingine huku akimwangalia Mengi na Simbeye then akamalizia "ila lazima mlipe kodi***"
 
sidhani kama nahitajika kujua Hilo. Hilo ni jambo lako binafsi wewe Manji na familia yako.
 
Wala hahitaji press conference, unless ndio masharti ya kununua Nakumatt...angejiendea zake kisailensa tu kwani ukimya ni jibu pia....
Ile ni biashara na biashara ni matangazo hapo tayari ameshaanza kupata wateja.
 
Hivi zile trillion 400 za kodi za accasia vipi naona mkuu anagonga glass na wakwepa kodi
Washaitwa true friends na ndugu..... bado unamayegemeo ya kupata chochote kutoka kwenye hizo Trillion 495!!? Rafiki wa kweli na ndugu hawadaiwagwi!!
 
Back
Top Bottom