Manji kuinunua Nakumatt

Hapana chezea chapaa
Hawa washamba ambao wametoka kwenye familia za kimaskini ni shida tu! Yaani wana mawazo ya kimaskini kuliko. Nimetoka kwenye familia ya kimaskini, lakini sina aisee mawazo ya kimaskini kama washamba wanaoongoza nchi.
 
Uking'atwa na Mbwa Kichaa wa Kwanza halafu ukapata majeraha makubwa na ukajitibia kwa taabu sana mpaka ukapona unatakiwa safari hii uwe na makini na aina ile ile ya Mbwa Vichaa kwani huenda wakikubahatisha tena safari hii wakikung'ata hutaishia tu kujeruhiwa bali huenda hata ukapoteza maisha / ukafa kabisa.
hamuwezi sasa hivi kiboko cha nguvu ya umma munacho munabanwa mbavu hadi mumebaki kwenye defensive kazi yenu nikulia lia tu na kujustify kazi munazofanya na mafanikio miezi 24 imetosha kuwasoma na kuona uwezo wenu kumbe zero
 
Anataka kurudisha reputation yake...
Mimi sioni shida kujitangaza,sema watanzania wengi roho zao za kichawi chawi na hawachelewi kumzushia kitu
Hapa ndipo tuliponasa kwakweli. .
Mtu akipiga hatua tuna umia sana.
 
Hili ndio tatizo la Manji...sasa atapiga kelele, hao jamaa zake wamrudie tena.
 
dada frida kazi ya mahakama ni kutafsiri sheria ana haki ya kufungua kesi ya kudhalilishwa mbona hajafanya hivo? kuhusu range ni wivu wenu wadada tu
amekuachia ujinome tu mshamba mbumbumbu ndio kwanza uko kwenye 30s lakini umebeba mbingu ya dhambi wanaokutuma wengine tayari wamekufa wengine wamezeeka wanaruka na ndege kila siku wengine wako magogoni wanahemea juu juu acha roho mbaya kijana visasi na kujipendekeza acha kijana maisha ni mtambuka haya
 
Zaidi ya MKWEPA KODI vile vile ni FisadiKuu na mtoa rushwa alifikiri Magufuli ananunulikaView attachment 616113
Chadema jumba la mafisadi lazima apate wa kutetea
Manji ni diwani kwa tiketi ya chama kipi mkuu?

Acheni udhalilishaji. Badala ya kuja kwa hoja, unaleta porojo na uongo.

Hebu vua nguo alafu ujiangalie kisha ujiulize hiki ulichoandika hapa ni sawa?
 
Unajua ukiwa na mawazo ya kimaskinimaskini, siku zote utawaona watu wenye fedha na waliofanikio kama maadui na tishio kwako. Utawaona wanadharau, hawana heshima na hawajali kitu chochote. utawaona ni wezi na huwezi kuamini kwamba utajiri au mafanikio yao yametokana na hard work. It is a sickness and backward state of mind that you cannot get rid of until you are civilized.
 
Wewe ndo kasome na kidungu ni hiki,CPA sect.91,ndo inaprovide nolle .Dpp anaondoa kesi kwa maana hana nia ya kuendelea na kesi.Kwa akili yako unafikiri hapa maana yake nini? Kadanganye wasiojua.Serikali inakuwa imekosa ushahidi kwa taarifa yako na hiyo kesi inakuwa dismissed.
Na anaiondoa katika condition zipi?Au akilala na kuamka tu kisa kafurahishwa na mke wake anaondoa kesi?
 
Sasa aache kiherehere siafanye kimya kimya..
Hajui kwamba Ndumila bado anamng'atia kidole? Kwasabbu hakuridhika kumwachia....na alifanya hivyo baada ya Wananchi kupiga kelele.
Hiyo siyo biashara ya bangi, hawezi kufanya kimya kimya. ni sehemu ya market strategy, ili watu wajue kwamba NAKUMATT sasa inarudi mjini na wajiandae kwenda huko kupata mahitaji yao. sidhani kama serikali sasa hivi ina ubavu wa kuendelea kumwadhibu Manji. Magu sasa ana mengi ya kutafakari kiuchumi badala ya kuendelea kupoteza muda kumuadhibu Manji, na mwisho wa siku mawe anayompiga nayo Manji yanmrudia mwenyewe
 
Back
Top Bottom