Manji kuinunua Nakumatt

Sio kufungiwa office alipe billion 20 za kodi huyo MKWEPA KODI, kama halipi hata hizo Nakumatt tutazifunga
wee mechi lini na
81ab29cd8427416a8fafdeea3c6efe40.jpg
 
Uking'atwa na Mbwa Kichaa wa Kwanza halafu ukapata majeraha makubwa na ukajitibia kwa taabu sana mpaka ukapona unatakiwa safari hii uwe na makini na aina ile ile ya Mbwa Vichaa kwani huenda wakikubahatisha tena safari hii wakikung'ata hutaishia tu kujeruhiwa bali huenda hata ukapoteza maisha / ukafa kabisa.

kasome vizuri kisayansi haipo hivyo, maana utakuwa umedevelop immunity vs rabbis that what is happening kwa manji, he is stronger now than ever,
 
Kwani nini TRA wasipige mnada mali zake kama anadaiwa kodi? Kama kweli anadaiwa billion 20 mali zake ziuzwe Magufuli anataka hela hizo kuna miradi mingi ya serikali ya awamu 5 bado imelala inataka fedha.
 
Manji anajitahidi sana kutoa ajira kwa vijana ameanzisha miradi mingi mfano wa Fastafasta ambao umetengeneza ajira kwa bodaboda na madereva wa tax.
 
kasome vizuri kisayansi haipo hivyo, maana utakuwa umedevelop immunity vs rabbis that what is happening kwa manji, he is stronger now than ever,
-- hii ndo tanzania mpya. ila wasije wakasahau kama watoto zao na watoto wa masikini wanafanya kazi kwa wanae mnyanyasa. ila watambuwe akuna marefu yasiyokuwa na na mwisho. sisi hapa tunapita tu. na one day atakuwa rahia kama wengine walio pita
 
Shukrani ya punda ni mateke
-- hii ndo tanzania mpya. ila wasije wakasahau kama watoto zao na watoto wa masikini wanafanya kazi kwa wanae mnyanyasa. ila watambuwe akuna marefu yasiyokuwa na na mwisho. sisi hapa tunapita tu. na one day atakuwa rahia kama wengine walio pita -- unaitaji kuwa kama putin ili u control wafanya biashara na matajili. mwakani upite tena. mwakani ufunguo wa kuingia tutachonga wote. tutawai kuingia na kukutowa.
 
Ha ha ha....watu wengi humu JF wanasema masikini wanachukia matajiri inaonesha humu matajiri wengi sana.
Hiyo inaweza kuwa moja ya interpretations. Ingawa mimi naona kutokana na namna Magufuli anavyowasema matajiri na ‘ku-deal’ nao, maskini wengi wanavutiwa. Na ukiangalia kushangilia kwao ni kwamba heri wote tukose! Hii ndiyo mitazamo ya kimaskini. Hawajui trickle down effect wa kuwa na matajiri.
 
Kuna waliozaliwa kukatisha/kukwamisha wengine, vilevile wapo waliozaliwa kupambana na vikwazo
 
Mh manji njoo huku mtwara ununue mbaazi sie wakulima tunateseka na bei ya tsh 150/= kwa kilo
Ila jamani wakulima poleni sana yaani tunaisoma namba! mie nililima ngwara yaani Kenya walikua wanunuzi wazuri ila tokea jini mkata kamba aingilie kati tunauza humumhumu nchini bei ndogo. Siasa mbaya kweli
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom