MANJI anajenga "human shield"?

MIGNON

JF-Expert Member
Nov 23, 2009
4,081
5,061
Nimekuwa nikisoma mara kwa mara kuhusu migogoro katika klabu ya Yanga ikimhusisha mfadhili wao mkuu Manji.Mara nyingi amekuwa anatishia kujitoa na wanachama wanamuomba arudi.
Wiki iliyopita gazeti la Mwanahalisi liliandika kumhusu mfadhili huyu na naanza kujenga hisia ya kuwa kuna agenda ya siri nyuma ya ufadhili huuna naamini anajenga ngao kujikinga na hatua zozote kwa kuwatumia binadamu wenziwe hasa wapenda mpira na wapenzi wa Yanga ambao si haba hapa nchini.
 
Hilo mbona liko wazi! Ila wapenzi wa Yanga hasa wale wazee hawataki kulielewa hilo
 
Nimekuwa nikisoma mara kwa mara kuhusu migogoro katika klabu ya Yanga ikimhusisha mfadhili wao mkuu Manji.Mara nyingi amekuwa anatishia kujitoa na wanachama wanamuomba arudi.
Wiki iliyopita gazeti la Mwanahalisi liliandika kumhusu mfadhili huyu na naanza kujenga hisia ya kuwa kuna agenda ya siri nyuma ya ufadhili huuna naamini anajenga ngao kujikinga na hatua zozote kwa kuwatumia binadamu wenziwe hasa wapenda mpira na wapenzi wa Yanga ambao si haba hapa nchini.

Niliamaibni hivyo siku nyingi hata kabla ya EPA kugunduiiwa . Kadri taarifa zinavyojitokeza ndipo ninazidi kuamini nadharia hiyo kwa dhati.
 
Manji kama walivyo wahindi wenzake wooote hapa TANZANIA wamefanya hii nchi kama tambala kwa kutumia njaa ya watu wetu na umbumbumbu wetu, lakini nawambia siku inakuja ambayo watalia na kusaga meno na hilo halina shaka hata kidg.
 
Nimewasikia woote na kwa kiasi fulani nakubaliana na nyniyi wote..lakini swali linabaki pale pale ambapo wengi wameshauliza kwenye jf humu;nani wa kulaumiwa hasa?ni wahindi au weusi wenzetu?haijapata kutokea duniani kama inavyotokea hapa kwetu..tujilaumu wenyewe kwa kuwa wenzetu wamekosa uzalendo na wamekubaliwa kununuliwa ndiyo maana hao wahindi wanapata nafasi ya kufanya yoote mnayoyaona.
 
Manji kama walivyo wahindi wenzake wooote hapa TANZANIA wamefanya hii nchi kama tambala kwa kutumia njaa ya watu wetu na umbumbumbu wetu, lakini nawambia siku inakuja ambayo watalia na kusaga meno na hilo halina shaka hata kidg.

...Umemaliza, lakini hapo kwenye umbumbumbu ungeongeza pia na NJAA zetu!! Si unamkumbuka marehemu Gulamali. Alfikia hatua ya kutaka kadi za Yanga ziwe na Picha yake na baadhi ya wanachama kwa kuendekeza njaa wakawa tayari kupigana ili hili likubaliwe! likakwama tu kutokana na ujasiri wa mtu mmoja kwa jina la George 'Castro' Mpondela ambaye baaadae wenye njaa zao wakafanikiwa kumuondoa madarakani kama walivyofanikiwa kumuondoa Amani Mahugila Madega.

swala la ushabiki wa simba na yanga ni sumu mbaya kwa watz inayowafanya kutoona mbali na kukaa wakiongea na kufikiria mambo yaleyale yasiyona na mabadiliko wala maendeleo yoyote. Manji anajua watz ni wafivu kufikiri na anajua fucus yao ipo kwa simba na yanga hivyo anajikinga kwa kutumia ujinga,njaa, ufivu wa kufikiri na mgongo wa udini kufanikisha ufisadi wake!
Mbaya zaidi kama walivyomafisadi wenzake ni watu wameishateka, kupuvusha na kuzoofisha nguvu ya serikali, mahakama na sasa bunge letu. Kesi anayomshitaki Mengi kwa kumuita fisadi papa inadhihirisha jeuri hayo na jeuri aliyonayo!!

kilichobaki ni wananchi kujipanga na kuchukua maamuzi zidi yake bila ya kutegemea serikali iliyopo wala mahakama!! hata ikitokea anapita angalau gari lake likapondwa na mawe message itakuwa imefika kwake na kwa mafisadi na kwa wahindi wenzake!
 
Nimekuwa nikisoma mara kwa mara kuhusu migogoro katika klabu ya Yanga ikimhusisha mfadhili wao mkuu Manji.Mara nyingi amekuwa anatishia kujitoa na wanachama wanamuomba arudi.
Wiki iliyopita gazeti la Mwanahalisi liliandika kumhusu mfadhili huyu na naanza kujenga hisia ya kuwa kuna agenda ya siri nyuma ya ufadhili huuna naamini anajenga ngao kujikinga na hatua zozote kwa kuwatumia binadamu wenziwe hasa wapenda mpira na wapenzi wa Yanga ambao si haba hapa nchini.
It is very true!this man is notorious!!
 
Ni ukweli usiopingika.

Nilimwambia mwanachama mmoja wa yanga ukweli huu sikujua kumbe mtu ukipanda hata chongo utasema kengeza tu.
Simwoni katika Yanga ambaye anaweza kusema ukweli huu na akabaki salama ndani ya kilabu maana sio Klabu.
 
sio hawajui mkubwa,wanmtumikia kafili wapate ujira wao.njaa mbaya kaka!
Hii ni kuendekeza njaa tu.... vile vizee viswahili ubwabwa haviambiwi kitu linapokuja swala la 'kitu cha bure'... kazi kulamba miguu ya fisadi manji
 
takumbukwa daima na Watanzania: tunakubaliana?

swala la ushabiki wa simba na yanga ni sumu mbaya kwa watz inayowafanya kutoona mbali na kukaa wakiongea na kufikiria mambo yaleyale yasiyona na mabadiliko wala maendeleo yoyote. Manji anajua watz ni wafivu kufikiri na anajua fucus yao ipo kwa simba na yanga hivyo anajikinga kwa kutumia ujinga,njaa, ufivu wa kufikiri na mgongo wa udini kufanikisha ufisadi wake!
Mbaya zaidi kama walivyomafisadi wenzake ni watu wameishateka, kupuvusha na kuzoofisha nguvu ya serikali, mahakama na sasa bunge letu. Kesi anayomshitaki Mengi kwa kumuita fisadi papa inadhihirisha jeuri hayo na jeuri aliyonayo!!

kilichobaki ni wananchi kujipanga na kuchukua maamuzi zidi yake bila ya kutegemea serikali iliyopo wala mahakama!! hata ikitokea anapita angalau gari lake likapondwa na mawe message itakuwa imefika kwake na kwa mafisadi na kwa wahindi wenzake!

Siyo gari kupondwa mawe ni yeye kuuliwa hadharani popote atakapoonekana maana Serikali imeshindwa kufanya maamuzi ya kunyonga mafisadi kama China, tuungane wote, popote atakapoonekana amalizwe. Atokee shujaa mmoja naye a
 
Tatizo si wahindi jamani. Tatizo ujinga wetu sisi wenyewe wavujajasho na serikali yetu. Unafahamu kuna wahindi wengi Dubai na Canada kuliko hata idadi tuliyonayo. Mbona hizo nchi wazalendo hawalii lii kama sisi?, na nchi zao zina ustawi mzuri tu wa kiuchumi. Tutoe mafisadi waliopo serikalini ambao wanashirikiana na baadhi ya mafisadi wa kihindi!. Pia mindset za wale wazee wanywa kahawa pale jengo la Yanga na hata jengo la Simba ingawa hamjazungumzia huko, zibadilike/zibadilishwe haraka sana! We will see positive results.
 
yanga haiwezekani bila Manji... ule msemo maskini jeuri ubaki kuwa msemo tu! yanga wasijaribu kuufanya kwa vitendo..:lol::lol:
 
Manji kama walivyo wahindi wenzake wooote hapa TANZANIA wamefanya hii nchi kama tambala kwa kutumia njaa ya watu wetu na umbumbumbu wetu, lakini nawambia siku inakuja ambayo watalia na kusaga meno na hilo halina shaka hata kidg.

Walishatutia mkononi wadosi hawa.
 
yanga haiwezekani bila Manji... ule msemo maskini jeuri ubaki kuwa msemo tu! yanga wasijaribu kuufanya kwa vitendo..:lol::lol:

Kaka!!
Punguza fikra nyong'onyefu hizo,nani kasema kuwa Yanga bila Manji (au Simba bila Muhindi yoyote yule) haiwezekani??INAWEZEKANA,wanachopaswa ni kubadilika kutoka klabu zinazotegemea hela za mifukoni mwa watu na kuwa klabu zinazojiendesha,zikiamua na kupata right people zinaweza kabisa hata kama mwanzoni zita-face ugumu kidogo.
Mabadiliko yanatakiwa na siku zote yanaanzia kwenye fikra!!!
 
Nadhani yanga sasa inapashwa kujipanga na kujiendeleza yenyewe bila manji.. Hawa waasia siyo watu wazuri hawezi mtu kutoa mamilioni yake bila kuwa na sababu za msingi...

Yanga tumwondoe manji na tujipange vizuri kuendeleza klabu na siyo kula hela na ufisadi kama madega na issue ya ngasa..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom