Manji ajaribu kujisafisha Kashfa ya Kagoda; ajichongea!

Mkuu, nimeona hiyo.
Nina wasiwasi na hili game, sijui nani haswa analengwa, lakini I bet it is a calculated move.....a chase of some sort.
 
hawa wahindi zamani walijifanya wajuvi sana sasa mambo yao yanazidi kuwekwa hadharani ona anavyojibu utadhani mtoto wa darasa la pili barua nzima imejaa maneno ya hasira utafikiri anamjibu mpenzi wake.
Anahisi anajibizana na Mengi! Hana adabu nini?
 
kuongezea.. hapo nilipokoleza na kupigia mstari,
hivi ile issue ya YM kuleta tractors fake--cum city/municipal garbage collectors-- iliisha vipi?..lini?.. na wapi??
Yaani mtu anahitaji kuwa na moyo kama wa NN, otherwise unaishia na heart attack!!

 

Halafu wewe hua comment zako humu hua sizipendi!!!
Hivi we uko upande gani? Maana hua hueleweki....vuguvugu mbaya..chagua moja either moto au baridi!!.
 
Tatizo si taarifa feki bali ni nani anazitoa na wapi, itikadi yake ni ipi, je amelenga nini na kumsaidia nani.
 
MAJI HAYUPO HUMU< LABDA WAPO WATU WAKE! Kinachouma zaidi ni kuwa wapo watanzania wenzetu wanaofaidika na uozo huu na wao wapo tayari kuwatetea kin Maji kwa gharama yoyote!
Kwani Manji yupo humu?
 
Yusuf Manji, jamaa katajirika kwa mipesa yetu wenyewe, nashangaa wanaomsifia eti anatumia walizoacha babu zake.
Mzee Mahboob kafia Marekani, nasikia alikimbia moto hapa, si ajabu hata mwane naye akaanza.

Huyu Manji bora naye aanze, hizi pesa za wizi kazitumia kuwafadhili Yanga labda tutapumua akifulia!
 


mi sijasikia, unasema?
 
mkuu
actually nilichotaka tutumie nguvu pia kujadili wizi wake unaondelea now
sisemi tusijadili kabisa ya kagoda..
yuko behind karibu kila kitu cha dili za halmashauri ya jiji
why?kwa sababu kawachagua yeye hao madiwani na meya wao...
umenipata?

Umeya wa jiji wa Masaburi ni wa Manji!!
 
Faiza Foxy usipotoshe umma,weka hapa hicho kifungu cha Companies Act 2002 unachosema! The company can legally operate after full registration by Companies registract full stop!
 
Mbona nimesikia huyu manji anatumia hela ya babu yake!!!! yaani hela ya baba yake hajaigusa,,na ya kwake bado hajaigusa-some trillionare this man
 
Msisahau kuwa kwenye ukweli uongo hujitenga!huo ni msemo wenye umri kuliko yeyote kati yetu hapa, YOU WILL ALL SEE THIS TO BE TRUE
 
Mkuu wasema hela za babu yake???? Aliztoa wapi kama si kunining'iniza babu zetu kichwa chini miguu juu??? Ni zetu wether ni za babu, bibi, babake! Ye mwenyewe mwaona anaztengeneza kimagumashi babu yake alifanyaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…