Aende vingunguti au Buguruni (Ilala) kulipojaa matajiri na wasomi wa nchi hii
Kama uongeavyo, kuna mwanajf aliandika hivi hivi huko mwanzo kwamba Ilala kwa biashara iko vizuri, ila kimipango miji, maendeleo ya makazi nk Kinondoni inaongoza.hapa hakuna cha kubishana , Kibiashara ni Ilala ila Kinonond inaongoza kila kilichobakia kasoro uhalifu ambayo ni temeke then Ilala
Chanika uipambanishe na Mw/nyamala?Kweli kabisa, sio haki kuilinganisha chanika na msasani au mikocheni.
Chanika inafaa upambanishwe na mwananyamala.
Yah ni kweli, ila Kinondoni kwa maeneo yaliotulia ni kufuru mkuu.Ilala iko vizuri, Maeneo kama Kinyerezi kwa upande wangu yametulia sana.
Kigamboni imemegwa kutoka Temeke kumbuka hiloKwahiyo Kigamboni inashindwa hata na Temeke mkuu?
Umechambua vizuri kinamna fulani mkuu. Ni kweli Ilala inaishinda Kinondoni kibiashara, majengo makubwa ya biashara, bank, majengo ya serikali, shule.Tukiondoa biasness, Ilala iko juu ya Kinondoni, then Kinondoni inafuatia. Kwa upande wa makazi ya kuishi Kinondoni inaizid kidogo Ilala ingawa siyo sana. Ilala ndiyo yenye CBD kubwa kuliko yoyote kwa Tanzania.( Kariakoo, Upanga, Kusutu, Posta) na ndiyo mji mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam. Ikichangamana na Temeke, Ilala ina Bandari, Airport, Muhimbili na Ikulu. Kwa upande wa Revenue collection( TRA Domestic Collection) Ilala imezipita Manispaa zote, majiji yote kwa ukusanyaji wa mapato kwa Tanzania nzima. Kinondoni inashika nafasi ya pili kwa kila kitu ukiondoa maeneo ya makazi tu na mambo ya starehe. CBD ya Kinondoni ni eneo dogo la Makumbusho na maeneo yanayochipukia pale Mlimani City.
Hivyo kwa kubalance mizania kwa kuangalia angle zote, Ilala inaipiku Kinondoni, nita rank kama ifuatavyo:
1. Ilala
2. Kinondoni
3. Kigamboni
4. Ubungo
5. Temeke
Na kwa majiji ni kama ifuatavyo:-
1. Dar es Salaam
2. Ilala( ukiacha ijitegemee Ilala bado iko juu)
3. Mwanza
4. Kinondoni( ukiacha ijitegemee, Kinondoni iko juu kuliko Arusha na Dodoma)
5. Arusha
6. Dodoma
7. Mbeya
8. Tanga
Kumekua na Debate ya rank kati ya Arusha na Dodoma, kimsingi hazipishani sana. Lakini based on CBD, Arusha bado iko juu kuliko Dodoma. Na kwa mtazamo wangu rank za majiji yanayotambuliwa kiserikali ukiondoa mpangilio wa hapo juu ni kama ifuatavyo:-
1. Dar es Salaam
2. Mwanza
3. Arusha(4)
4. Dodoma(3)
5. Mbeya
6.Tanga
Lakini miji ifuatayo inaweza kupewa hadhi:
Morogoro, Kahama na Moshi.
Ndio hakika yenyeweUmenichekesha sana mkuu japo ulichoandika kina ukweli ndani yake 😄😄
Hahaha hivi Chanika ipo Ilala au Temeke?Wilaya ni Kinondoni uende kuishi Chanika Una akili kweli wewe
Sio radio na TV station tu hata chombo cha kuvukia from Kigamboni to posta (ferry) ni changamoto.Hapa nimekumbuka, Kigamboni haina chombo cha habari hata kimoja si radio, tv wala gazeti. Hivyo kuiweka kwenye ushindani huu unaitafutia aibu.
Mimi M'kinondoni sema temeke ni manispaa ya kinyonge sana, hakuna hata kata moja ya uzunguni kama manispaa zingine 🤣🤣🤣Uwezekano wa Kinondoni kuibuka kidedea katika mchabango huu ni mkubwa, ikifuatiwa kwa mbali kidogo na Ilala. Temeke huenda ikawa nyuma hata ya Kigamboni 😂😂😂.
Kinondoni aisee
Tazameni Mbweni nyie..