Mangungu: Tumekubaliwa mazoezi na hatutambui mechi nyingine tofauti na June 15, Mangungu huyohuyo baada ya kulamba chai ya ikulu, Kageuka!

Mangungu: Tumekubaliwa mazoezi na hatutambui mechi nyingine tofauti na June 15, Mangungu huyohuyo baada ya kulamba chai ya ikulu, Kageuka!

MwananchiOG

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2023
Posts
2,507
Reaction score
4,933
Aliyeandaa hii barua na kusisitiza hakuna mchezo mwingine tofauti na JUNE 15 na kwamba wamekubaliwa kufanya mazoezi katika dimba la mkapa na kesho watapeleka timu, Mara ghafla baada ya kupata per diem za mbumbumbu, Kaingia mitini! Hii tunaiitaje kitaalam?
20250613_183125.jpg
 
Back
Top Bottom