Eddy Love
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 13,655
- 8,590
matendo yanasema zaidi kuliko maneno.......loading...NYAMAGANA yatema umati....
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
hao watu wa kukodishwa tu we huonagi wanaletwa na mabasi
matendo yanasema zaidi kuliko maneno.......loading...NYAMAGANA yatema umati....
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
sasa kama na wewe ni sehemu ya walaji wa mali ya wizi unachomlaumu alieiba ni nini? Acha sisi tusiokula vya wizi ndo tuwalaumu wezi.au unacholaumu wewe ni kwakua katika share ya mali ya wizi wewe umepewa kidogo?tunajilipa kilicho chetu maana sehemu ya fedha inatokana na tembo wetu wanaouliwa na akina kinana na kundi lao la majangili
Hii ndio inawacost kila chaguzi ndogo na kubwa zinapofanyika,maana mnawaza habari ya watu kupekwa na malori wakati wenzenu wanaeneza sera zinazowaingia wananchi,cdm mkiendelea kuamini kwamba mmesimama wakati ukweli ni kwamba mmekaa itawachukua muda mrefu sana kusimama na kushinda chaguzi za jumla acha kajimbo kamoja au tuwili,mtaendela kushindana na cuf wakati ccm inasonga mbele,amkeni usingizini jiulizeni kwanini sasa ccm inaonekana kukubalika zaidi kuliko mlivyodhani,ushadi wa hilo ni uchaguzi uliopita wa halmashauri,wale wapiga kura haiyumkiniki kuuaminisha umma kwamba eti walipakiwa kwenye malori ndio mana wakaikataa chadema,you have to come up with strong reason ya kwanini mlianguka vibaya kiasi kile licha ya mapesa ya m4c
Mfumo CCM unazuia kukataa rushwa. Tukiikata CCM na mambo yake yote ndio tutaanza kukataa rushwa. By the way kushawishiwa kwenda kwenye mkutano ambao haukutaka kwenda sio rushwa maana hakuna sheria imevunjwa na mkutano ulikuwa na kibali cha polisi. Tutaendelea kula hela za CCM ndio tuhudhurie mikutano yao maana ni hela ya Tembo wetu Kinana anaua. Kama serikali ina ubavu imkamate huyu msomali kwanzasasa kama na wewe ni sehemu ya walaji wa mali ya wizi unachomlaumu alieiba ni nini? Acha sisi tusiokula vya wizi ndo tuwalaumu wezi.au unacholaumu wewe ni kwakua katika share ya mali ya wizi wewe umepewa kidogo?
Mkuu watu ni wengi ila hujatuainishia bajeti ya malori na posho za mabalozi za kuwahamasisha na kuwashawishi wananchi kuhudhuria mkutano wa ujenzi wa chama.
waje wafunike Mtwara kama wanaweza!
Hawaogopi nchale.!!??
matendo yanasema zaidi kuliko maneno.......loading...NYAMAGANA yatema umati....
Ina maana hawa watu siku zote wanatunza hizi sare kusubiri mkutano tu. Kama kweli ni mkutano wa hadhara, inakuwaje karibia wote wawe na sare, ina maana wasiokuwa wanachama hawaruhusiwi kuhudhuria au kulikuwa na kadi za mwaliko ?![]()
![]()
KATIBU CHADEMA MBEYA ANASWA NA RUSHWAMfumo CCM unazuia kukataa rushwa. Tukiikata CCM na mambo yake yote ndio tutaanza kukataa rushwa. By the way kushawishiwa kwenda kwenye mkutano ambao haukutaka kwenda sio rushwa maana hakuna sheria imevunjwa na mkutano ulikuwa na kibali cha polisi. Tutaendelea kula hela za CCM ndio tuhudhurie mikutano yao maana ni hela ya Tembo wetu Kinana anaua. Kama serikali ina ubavu imkamate huyu msomali kwanza
Kaka yalikuwepo na mabasi YANAITWA MSUKUMAMkuu watu ni wengi ila hujatuainishia bajeti ya malori na posho za mabalozi za kuwahamasisha na kuwashawishi wananchi kuhudhuria mkutano wa ujenzi wa chama.
Sehemu kubwa hapo utakuta wametoka Hungumalwa,Nyanguge,Kisesa,Bukumbi na wameletwa na Malori ya CCM sasa hu ufunikaji uwapi?