Mangula, Nape, Mwakyembe wafunika Mwanza...

Mangula, Nape, Mwakyembe wafunika Mwanza...

matendo yanasema zaidi kuliko maneno.......loading...NYAMAGANA yatema umati....

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

Hawa watu wameahidiwa Usafiri wa bure wa mafuso,hiace na bodaboda kwenda na kurudi majumbani kwao halafu wakapewa tena pilao na soda za bure, wakaongezewa kofia,khanga na fulana za bureeeeeeeee.

Kwanini wasijimwage kwenye mkutano wa Nepi Naye na Babu Kigagula(Mangula)?????Hata kama ni mimi lazima ningehudhuria mkutano huu maana ni ulaji mtupu!!!
 
mkuu safi sana tuonyeshe na malori yalivyosomba watu kuleta mkutanoni na tupe mahesabu ya boda boda mliwalipa sh,ili washiriki mkutano huo.
 
Back
Top Bottom