hakika wengi ni mabalozi ambao hutumika km kalai la kujengea pind ujenz ukimalizika hubaki nje hata choon haingii,hiv huoni aibu mwanaume mwenzio anakucheka kwa urofa wako kwenye paji la uso kifuani,kwenye makalio kuzidi kuishabikia ccm ni bora tufunge vizazi tuczae maana tutawatesa watoto wasio na hatia,cdm ni kama safina ya nuhu watakaobaki ni mizoga ambayo ni km kupe hadi ngombe anawambwa yy yupo hao tuwaache maccm kupe.