Mangula, Nape, Mwakyembe wafunika Mwanza...

Mangula, Nape, Mwakyembe wafunika Mwanza...

Moja, mbili, tatu, nne, tano, sita,..... kumi na moja. Ndo ambao wamevaa nguo ambazo sio za kupewa. Kwa nini mliwabagua hao kwenye kugawa nguo?
 
Mkuu watu ni wengi ila hujatuainishia bajeti ya malori na posho za mabalozi za kuwahamasisha na kuwashawishi wananchi kuhudhuria mkutano wa ujenzi wa chama.

Mbona wote waliopo kwenye mkutano huo wamevaa jezi za CCM? Kama walikwenda kuonana na wana CCM si heri tu wangefanya mkutano wa ndani badala ya kutumia gharama zote za kukodisha malory? Au hiyo yote ndio namna ya kuongeza Sufuri kwenye Matumizi ya pesa ziliz[SIZE=4]otumika kuitisha mkutano hu[SIZE=4]o? Kweli CCM k[SIZE=4]ila k[SIZE=4]itu wan[SIZE=4]a[SIZE=4]wazia ufisadi, Watoke vipi? Dhu!

[/SIZE][/SIZE][/SIZE][/SIZE][/SIZE][/SIZE]
 
ulipewa shilingi ngapi na ulipewa na nani ili tufanye utaratibu wa kuchukua hatua? au ulipewa kwa njia sahihi?
Njia sahihi muulize Nape huwa wanawatumia akina nani kugawa hela kukiwa na mikutano???

Jamaa aliyenipa hongo baada ya mkutano akaenda kutupoza machungu ya kutukanwa na Nape kuwa wana Ng'wanza tutashikishwa ukuta. Akatununulia Kiti Moto pale Kirumba Resort then tukanywa Heineken za kutosha pale Kirumba resort, akadai chenji imebaki kwani watu wasio na msimamo walikuwa wanapewa hadi buku moja badala ya buku kumi.

Solution sio kugawa hela, solution ni kuleta maisha bora na kumwambia katibu mkuu imetosha kuua Tembo wetu...
 
IMG_3959.JPG


IMG_3962.JPG
 
sasa hayo malori yako wapi?mbona umecopy picha kibao ambazo hazina uwiano na maelezo yako?

Shughuli nzima ya kusomba raia kutoka vijijini ilikuwa kama unavyoshuhudia hapo chini. Bila kusomba watu ccm haiwezi kupata watu wa kuwasikiliza, hata wanaccm wenyewe hawapendi kuhudhuria mikutano ya viongozi wao.

hapo ni kwa muda huu...gari inawasili kutoka katoro geita naskia kuna zingine zinakuja ...gari za king musukuma zinazidi kuleta watu na zingine zinakujaView attachment 80101View attachment 80102View attachment 80104
 
Njia sahihi muulize Nape huwa wanawatumia akina nani kugawa hela kukiwa na mikutano???

Jamaa aliyenipa hongo baada ya mkutano akaenda kutupoza machungu ya kutukanwa na Nape kuwa wana Ng'wanza tutashikishwa ukuta. Akatununulia Kiti Moto pale Kirumba Resort then tukanywa Heineken za kutosha pale Kirumba resort, akadai chenji imebaki kwani watu wasio na msimamo walikuwa wanapewa hadi buku moja badala ya buku kumi.

Solution sio kugawa hela, solution ni kuleta maisha bora na kumwambia katibu mkuu imetosha kuua Tembo wetu...
kumbe nyie ni sememu ya tatizo mnakula rushwa halafu tunawaambia muwataje waliowapa rushwa mnazunguka zunguka! sasa kama ninyi wenyewe wala rushwa tena mkipewa buku,mnataka 10,mkiwa na kamba ndefu si ndio wale wale.kumlaumu mwenzako kwa kitendo kilekile unachokifanya ni efedhuli na kughafilika kuliko kukuu.
 
Ukiona umati mkubwa ujue mabasi yamesomba watu kutoka magu, sengerema, kisesa, magu, na vijiji vingine ila sio mwanza kati.
 
Mkuu watu ni wengi ila hujatuainishia bajeti ya malori na posho za mabalozi za kuwahamasisha na kuwashawishi wananchi kuhudhuria mkutano wa ujenzi wa chama.

Mkuu Mikael P Aweda
Hayo ya magari mtamaliza wenyewe sisi hali ndio kama unavyoina wanachama wetu bado wana imani sana nyie malizeni porojo sisi mwendo mdundo: vipi ulishapata bajeti ya safari ya mchumba Josephine? Mwaka huu ni vituko vitupu watu mmeshajukuu bado ni wachumba tu? Mkuu Aweda hivi hamna baraza la kuwashauri hawa watu waishi kwa maadili ya vitabu vya mwenyezi Mungu? Hivi hamuoni kama huu ni uchafu hivi kijana kama wewe unajifundisha nini kwa huyu babu yako?

Chama
Gongo la mboto DSM
CC Ritz; Molemo
 
Last edited by a moderator:
matendo yanasema zaidi kuliko maneno.......loading...NYAMAGANA yatema umati....

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php
Picha ya kwanza kwa mbali naona viti vipo tupu sasa sijui kufunika hapa maana yake nini,kwa jinsi chama hiki kilivyo kikongwe inatia shaka sana kuona umati wa watu wachache kama hao hasa kutokana na mkutano wenyewe kuhutubiwa na makamu mwenyekiti,katibu mwenezi na waziri ambao ni watu wazito kwenye chama.

 
:behindsofa:

Nasubiri mchanganuo wa Malori mangapi yalibeba watu kutoka Missungwi, Nyanguge, Magu, Katunguru, Sengerema, Misasi, Ngudu, Ukerewe ili kutimiza idadi ya watu hao uliopiga picha. Baadhi yao nimewafahamu baada ya kuchungulia picha wanatoka Sumve, bila shaka Mh. Ndasa aliwawezesha kwenda na kurudi?





matendo yanasema zaidi kuliko maneno.......loading...NYAMAGA NA yatema umati....​
 
Hapa vipi???mi nadhani si ajabu watu kutumia vipando kwenda kwenye mikutano ya vyama,nakumbuka kuna wakati ccm pia ilikua inapata tabu sana na cuf ambao wapenzi wao walikua wanatumia malori na kujazana kibao,lakini badae waliwazoea tu

IMG_3886.JPG

2.JPG

SAM_2395.JPG

SAM_2396.JPG
 
Kulikuwa na ubwabwa nyama au ubwabwa maharage????
 
Picha ya kwanza kwa mbali naona viti vipo tupu sasa sijui kufunika hapa maana yake nini,kwa jinsi chama hiki kilivyo kikongwe inatia shaka sana kuona umati wa watu wachache kama hao hasa kutokana na mkutano wenyewe kuhutubiwa na makamu mwenyekiti,katibu mwenezi na waziri ambao ni watu wazito kwenye chama.


Wewe endelea kuwa na shaka nina uhakika shaka yako itakutoka 2015

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Back
Top Bottom