Mangula, Nape, Mwakyembe wafunika Mwanza...

Mangula, Nape, Mwakyembe wafunika Mwanza...

Seing is believing - viti vitupu nyuma!

NB: Mkutano ulihudhuriwa na wana-ccm pekee? rangi za kijani na manjano kila mahali!

hayo unayotumia kuangalia ni macho ama vidonda??!!napata shaka na uwezo wake wa kuona,tafadhali wasiliana na daktari wa macho haraka sana,unaelekea kupofuka mzee chukua hatua
 
lema.bmp

382036_349343078497671_1357885367_n.jpg

dscn7002_thumb%25255b2%25255d.jpg


wachagga watupu,Hata ukiwatazama usoni tu unagundua hawa ni wao na hizi ni sura zao!....chagga development manifesto@work
 
lema.bmp


Mmmmmmmmm! huu uwekaji wa kidole juu wa LEMA unatfsiri nyingi sana kwa sisi watu wa pwani,kwa mnaomfahamu sawasawa hivi yuko salama kweli huyu kijana?!!!!!!!!! uwekaji gani wa kidole juu huu?
 
Nyamagana nao uwanja gani!

Malori kumi tu yanajaza uwanja, sembuse malori ya kutoka hadi mikoa ya jirani!
 
Bahati mbaya mliyonayo sasa ni kuwa kila mnapoona kuna tatizo hamko tayari kukubali na kurekebisha zaidi ya kubisha na kutafuta sababu.

Acha uchizi tatizo la picha unaiongelea lipo wapi? Nasubiri maelezo yako mtalaam kutoka Kodak

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Hivyo tunahitaji mikutano ya aina hii wakati huu ambao wananchi maisha ni ya shida sana? Baada ya uchaguzi ni vizuri Mikutano iwe ya kufanya mambo ya maendeleo na siyo kupiga maneno na kuzunguka zunguka kusiko na tija. Siasa za kizamani hizi, hivyo CCm na rais wake hawawezi jifunza toka nchi za USA na UK na hata Germany vyama vinavyoshinda na kujiita vinaavyotawala vinavyofanya baada ya uchaguzi? Ni afadhali niendelee kubeba mabox maana sioni tija katika mikutano ya aina hiyo hasa inapofanywa na chama kinachojiita tawala.
 
baadhi ya mabasi
attachment.php


attachment.php


attachment.php
Ooops!

Mabasi yalihitajika kuleta watu wa Nyakato, Igoma,Ilemela, Pasiansi, Nyamanoro, Mabatini, Nyegezi, Buhongwa, Mahina na vitongoji vingine au nje ya mji?

Uwanja wenyewe Nyamagana mabasi ya nini jamani na mji wenyewe una watu wengi hivyo?
 
Naogopa ban ningesema jambo naisi milele ningetandikwa ban..... mkutano huu ilikuwa aibu sana unatoa watu sengerema, geita, magu, kwimba na misungwi kujaza uwanja mdogo vile then unajisifia

Na mabasi ya KING MSUKUMA, ZAKARIA NA ZUBERI, MALORI, MAGARI YA SERIKALI USEMI KAMA NDIO chanzo za kufanya uwanja huu uwe hivi kweli kila hoja zenu sasa ni mfirisi tu

Honey K 〓Afisa habari CCM lumumba.
 
nimekubali sasa ccm habari yao imekwisha kuna picha zingine au mwisho kabisa .kabla ya mkutano au baada ya mkutano
 
matendo yanasema zaidi kuliko maneno.......loading...NYAMAGANA yatema umati....

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php
Ukienda kuwachukua watu huko vijijini. watu uliowaletea umaskini kwa miaka nenda rudi! watu uliowaelewesha kuwa maisha ni umaskini tu. Ukiwapa alfu mbili na ahadi ya wali wa nyama pori. Halafu ukawapelekea Malori na mabasi ya kuwasafirisha. Ni kazi kweli kweli. Utawapata!!!
 
Acha uchizi tatizo la picha unaiongelea lipo wapi? Nasubiri maelezo yako mtalaam kutoka Kodak

Chama
Gongo la mboto DSM
Ha ha ha ulikwishaona mzima akawa anaelewana na chizi?Sema basi chizi mwenzangu!
 
Ha ha ha ulikwishaona mzima akawa anaelewana na chizi?Sema basi chizi mwenzangu!

ahaaa haa uchizi unatofautiana wewe wako kiboko nipe maelezo ya picha mtalaam wa Kodak

Chama
Gongo la mboto DSM
 
ahaaa haa uchizi unatofautiana wewe wako kiboko nipe maelezo ya picha mtalaam wa Kodak

Chama
Gongo la mboto DSM
Picha haiihitaji maelezo,tatizo umezoea kupewa maelezo tu bila kukishughulisha kichwa chako kufanya kazi na kutambua mambo,umezoea kutafuniwa kazi yako ni kumeza tu!Kama macho yako hayaoni basi waache wenzio wenye kuona.
 
Mkuu watu ni wengi ila hujatuainishia bajeti ya malori na posho za mabalozi za kuwahamasisha na kuwashawishi wananchi kuhudhuria mkutano wa ujenzi wa chama.

mkuu je unataka kutueleza kuwa hata kwenye mikutano ya CDM umati unapokuwa mkubwa maana yake wameletwa na malori na pia kuna posho CDM wametoa? kwa nn iwe upande wa CCM tu
 
hili la malori nalisikia toka kwako.inaonekana ulikuwepo kwenye mkutano.hebu tufahamishe walitumia malori mangapi na yalikuwa ya kwao au ya kukodi.

acha kuzuga wakati unajua fika mnavyokodi malori kupeleka watu mikutanoni,shame upon urself
Ccm kishakufa kinasubiri tu kuzikwa 2015
 
Back
Top Bottom