Basil Lema
Member
- Jan 20, 2013
- 86
- 277
Honey nimesahau. Hivi Mwanza kuna tembo? Msije mkawa mepeleka dhahama ya tembo huko. Huku kwetu ile Arifu ya kwenu tunaweka mbali na Tembo.
wewe ulishawahi kuhudhuria na ukatoka na mshiko?au kakusimulia rafiki yako tu?mikutano ya ccm ni dili.................... Manake lazima utoke na mshiko!
Mkuu watu ni wengi ila hujatuainishia bajeti ya malori na posho za mabalozi za kuwahamasisha na kuwashawishi wananchi kuhudhuria mkutano wa ujenzi wa chama.
Mi nilikula buku 10 na usafiri mwaka jana tukaishiwa kutukanwa na Nape kuwa atatushikisha ukuta wananchi wa Mwanza baada ya kuonyeshwa Peoples' power. This time nikaona heri kuwapotezea na hela zaoMikutano ya ccm ni dili.................... manake lazima utoke na mshiko!
wewe ulishawahi kuhudhuria na ukatoka na mshiko?au kakusimulia rafiki yako tu?
ulipewa shilingi ngapi na ulipewa na nani ili tufanye utaratibu wa kuchukua hatua? au ulipewa kwa njia sahihi?Mimi nilishahudhuria na kuondoka na mshiko....
matendo yanasema zaidi kuliko maneno.......loading...NYAMAGANA yatema umati....
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
sasa hayo malori yako wapi?mbona umecopy picha kibao ambazo hazina uwiano na maelezo yako?Kwamba ccm imefika mahali sasa inajivunia mahudhurio ya watu waliosombwa kwa malori na kulipwa posho kutoka sengerema, geita na maeneo mbalimbali ya mikoa ya jirani ili wahudhurie mikutano yao.
Kwamba ccm imefika mahali haijui kabisa kwamba kama ingekuwa inatekeleza ilani yake ya uchaguzi isingehitaji kutumia nguvu nyingi kukusanya watu kwenye mikutano yake kwakuwa wangekuja wenyewe, kwa kujilipia nauli zao ama kwa kutembea kwa miguu.
Hahahaha eti bado wanaota ndoto za kuendelea kuiongoza nchi, thubutuuuuuuu...!!!
Hii ndio inawacost kila chaguzi ndogo na kubwa zinapofanyika,maana mnawaza habari ya watu kupekwa na malori wakati wenzenu wanaeneza sera zinazowaingia wananchi,cdm mkiendelea kuamini kwamba mmesimama wakati ukweli ni kwamba mmekaa itawachukua muda mrefu sana kusimama na kushinda chaguzi za jumla acha kajimbo kamoja au tuwili,mtaendela kushindana na cuf wakati ccm inasonga mbele,amkeni usingizini jiulizeni kwanini sasa ccm inaonekana kukubalika zaidi kuliko mlivyodhani,ushadi wa hilo ni uchaguzi uliopita wa halmashauri,wale wapiga kura haiyumkiniki kuuaminisha umma kwamba eti walipakiwa kwenye malori ndio mana wakaikataa chadema,you have to come up with strong reason ya kwanini mlianguka vibaya kiasi kile licha ya mapesa ya m4cMkuu watu ni wengi ila hujatuainishia bajeti ya malori na posho za mabalozi za kuwahamasisha na kuwashawishi wananchi kuhudhuria mkutano wa ujenzi wa chama.