Sir R
JF-Expert Member
- Oct 23, 2009
- 2,175
- 300
Mangula na raisi wako vyama tofauti?
Umempa za usoni
Mangula na raisi wako vyama tofauti?
Lowasa ni fisad mkubwa No 1, tanzania hakuna asiyemjua lowasa, kwan ni mnafiki anaingia makanisan eti na misikitini kumwaga misaada wakat jimbo lake maji shida tu!! Wamasai wanaenda kutafuta maji na punda zao
Kujifurahisha kwenye siasa, immo!, yaani kunaruhusiwa!. Huyu jamaa anajifurahisha tuu kama Nape!.Pasco wa Jf Sema neno kuhusu mkwara mbuzi huu dhidi ya jemadali wetu El....
hakuna ccm bila lowasa hata kidogo/mwaka huu na mwakani, vyama vitakumbwa na migogoro ya kugombania uongozi, tatizo la ccm hawana uwezo wa kumtimua lowassa hata kidogo!
husimchonganishe mzee mangula na lowassa... Ccm hakuna mwenye uwezo wa kumfukuza lowassa... Sana sana anayejaribu kutunusha tumisuli ni @nape tu.
HUYO NI Mangula wa nyumbani KWAKO,NA SII mzee Philip Mangula tunayemjua SISI,MWINGI wa HEKIMA,anavyo VIKAO VYA kuongelea,Hana SABABU ya kuyaongea hayo uliyomlisha,shame on you mleta MADA
Mangula makamu mwenyekti wa CCM Taifa amepigilia msumari mkali kwenye ndoto ya Edward Lowassa kwa kumwambia bora aondoke kwani hata simamishwa na CCM kama mgombea wake wa Urais kwani matendo anayofanya yanampoyezea sifa ya kuwa mgombea wa CCM labda chama kingine!
Kayasema hayo leo mchana Lumumba CCM Sub HQs!
bavicha wenye busara na akili kidogo sijui wako na Zitto? Maana hawa waliobaki utawaonea hata huruma. wewe waandikie tu mkubwa fulani katika chama kiubwa-CCM kasema hivi hivi kwenye radio au hata tv potelea mbali, basi vibavicha vitakurupuka huko na kuanza kushangilia kama mazuzu. Hivi wewe nani kakwambia kuwa Makamu M/kiti wa chama dume anakwenda ch 10 kuongea kuhusu mambo ya chama na mwanachama. Ujuha bwana, halafu aliyepost hii thread ni CCM nyie mnakurupuka, ------- kasome kwanza ndio mje kusema, la sivyo mtakuwa vichwa vya panzi kila leo
Mangula makamu mwenyekti wa CCM Taifa amepigilia msumari mkali kwenye ndoto ya Edward Lowassa kwa kumwambia bora aondoke kwani hata simamishwa na CCM kama mgombea wake wa Urais kwani matendo anayofanya yanampoyezea sifa ya kuwa mgombea wa CCM labda chama kingine!
Kayasema hayo leo mchana Lumumba CCM Sub HQs!