Mangula: Lowassa bora uondoke kuliko kuivuruga CCM

Mangula: Lowassa bora uondoke kuliko kuivuruga CCM

Mangula makamu mwenyekti wa CCM Taifa amepigilia msumari mkali kwenye ndoto ya Edward Lowassa kwa kumwambia bora aondoke kwani hata simamishwa na CCM kama mgombea wake wa Urais kwani matendo anayofanya yanampoyezea sifa ya kuwa mgombea wa CCM labda chama kingine!

Kayasema hayo leo mchana Lumumba CCM Sub HQs!

-------------------------
Jamani Huyu Mangula si ndiye aliyepeleka File Kubwa Eti lenye Madhambi na KUMUUA Kikwete 2005, ILI Kikwete asipitishwe kugombea Urais. Mzee Huyu mlima nyanya Kweli ni mtu aw Chuki. HAKOMI. NAPE naye Huyu ni CCJ yupo pale kwa Hisani ya Marehemu baba yake. HATA na Akina CCJ wakiongozwa na mzee SIX nao Wana ROPOKENI hovyo.
 
ni hivi zile siasa za 2005 zimeifikisha nchi ilipo,kuna watu lazima wahangaikie wateule wao,maana watapata u-DC

Mkuu ngoja tuone hizi ngonjera maana hawa wagombea Urais wanamakundi yao nadhani watajitokeza tu kujibu kama ambavyo Guninita alivyomjibu Nape
 
Nadhani huu ni wakati wa CHADEMA nao kumtumia Lowassa ili kuisambaratisha CCM!!!
Lowasa go, usibabaishwe na vyeo vya kuteuliwa. Hiyo ni haki yako
bwana. Kama Mangula na Nape wanautaka si watangaze his bank kawazuia
 
Mtu mwenye akili timamu hawezi kuchukua kauli ya Mzee Mangula maana hajawahi kuwa serious Mzee huyu!

Akigombana na Lowassa atawekwa bench na atarudi kwake Wanging;ombe na akikumbuka alivyo choka kimaisha enzi zile hana kazi inabidi aufyate tu!Kasahau kuwa Deo Sanga"Jah People"alivyomgaragaza easily kwenye uchaguzi wa Mwenyekiti wa Mkoa-Iringa?

Lowassa anasema kia siku kuwa hakukutana na JK barabarani
 
Ndudu wana Jf,

Matamko mawili ya vioungozi wa juu wa CCM Nape na Mangula, yameenda kinyume na campaign ambazo wanaCCM hapa Jf wamekuwa wakipiga kuhusu Democrasia ndani ya vyama huku wakiinanga Chadema kuwa inamnyima Zitto Kabwe Demicrasia ndani ya Chama. Je anachokifanya Lowassa sicho ambacho Zitto amekemewa na kuchukuliwa hatua ndani ya Chama chake Chadema? Kama ni jambo la Kidemocrasia kwanini Nape na Mangula wamemjia juu Lowassa? Vijana wa CCM acheni unafiki, vyama lazima viendeshwe kwa kanuni na taratibu, otherwise itakuwa ni vurungu za kilabu cha pombe za kienyeji.

CC:
Ritz, MSALANI, Lizaboni etc
 
alisema ameianza safari yenye michongoma na miiba kwa wingi...!labda filipo na nape ndo miiba yenyewe..
 
Hapo ndipo chadema mnapokuja kuonekana mazuzu yaani nyi kaz yenu ni kucopy na kupaste kutoka ccm,Chadema imekosa sifa za kuwa chama kikuu cha upinzan.
 
Zitto alikuwa anawasaidia sana wagombea wao kupita bila kupingwa! Ndio maana wanamtetea sana abaki cdm! Kufukuzwa kwa Zitto ni pigo kubwa kwa ccm kuliko cdm yenyewe! Ndio maana wakajifanya wanaifahamu sana demokrasia ya cdm kuliko ya kwao!
 
Hapo ndipo chadema mnapokuja kuonekana mazuzu yaani nyi kaz yenu ni kucopy na kupaste kutoka ccm,Chadema imekosa sifa za kuwa chama kikuu cha upinzan.

Tumekopi nini!? Acha kuongea hovyo hovyo jenga hoja kulingana na mada husika..
 
Zitto alikuwa anawasaidia sana wagombea wao kupita bila kupingwa! Ndio maana wanamtetea sana abaki cdm! Kufukuzwa kwa Zitto ni pigo kubwa kwa ccm kuliko cdm yenyewe! Ndio maana wakajifanya wanaifahamu sana demokrasia ya cdm kuliko ya kwao!

Tena vita yao itaacha CCM taabani.. Haijaanza hizi rasha rasha tu..
 
Hapo ndipo chadema mnapokuja kuonekana mazuzu yaani nyi kaz yenu ni kucopy na kupaste kutoka ccm,Chadema imekosa sifa za kuwa chama kikuu cha upinzan.

cdm imekop nini kutoka lumbumba? Ccm ndo inaendeshwa kwa sera za cdm , kumbuka cdm ndo ilianza kukemea makundi ndani ya chama na wala c,magamba
 
Uzi huu ni mwiba kwa Lumumba FC wote, akiwemo mtaalamu wa kula rushwa za uanahabari Pasco
 
Waungwana, kupitia taarifa ya habari ya channel ten makamu mwenyekiti wa chama cha mapinduzi(ccm) ametoa tamko kali kwa kusema chama hakitasita kumchukulia kiongozi yeyote hatua kama atagundulika anatoa rushwa ,anatoa michango mbalimbali kama harambe kweny maeneo mbalimbali bila idhini ya chama watachukuliwa hatua na pia ameonya makundi yote yanayokigawa chama waataitwa na kuhojiwa. Swali je hawa watoa michango hawajulikani mpaka wafanye uchunguzi, haya makundi hawayajui. Tujadili

Kwani lowassa ni kiongozi wa nini?wadau nikumbusheni.
 
Mkuki kwa nguruwe! Mbona nyie mnashangilia na kudhamini usaliti wa ZITTO ili kuivuruga CHADEMA?

we hovyo kweli, kwa hiyo chadema inafanya shughuli zake kwa template ya maccm.......sasa tunachokipigania kilicho tofauti na maccm ni kipi?!
 
Siasa za nchi yetu kama mambo ya mnara wa babel,kama vipi wanasiasa wote watoke wakatafute kazi nyingine za kufanya,halafu na sie tuingie tufanye kazi ya siasa,Hivi yale maoni ya kutaka kila mkoa uwe na wabunge 2 tu na kusiwe na majimbo ya uchaguzi na vile viti maalum kwa ajili ya kuwaliwaza waheshimiwa wakuu vifutwe umefikia wapi?
Nashangaa sana,kila siku lowassa,zitto,mbowe,slaa,ccm,cdm hivi hakuna mambo ya msingi ya kujadili?Hapa umeme ukinunua wa buku 10 unapata units 8 lakini cha ajabu kimya tu,
 
Walikuwa wanaitegemea Chadema iwasaidie kumshuulikia Lowasa, sasa Chadema imewaachia mzigo wao, wanatoka vipi haja kubwa kuubeba!!
 
Back
Top Bottom