Mangula: Lowassa bora uondoke kuliko kuivuruga CCM

Mangula: Lowassa bora uondoke kuliko kuivuruga CCM

Mangula makamu mwenyekti wa CCM Taifa amepigilia msumari mkali kwenye ndoto ya Edward Lowassa kwa kumwambia bora aondoke kwani hata simamishwa na CCM kama mgombea wake wa Urais kwani matendo anayofanya yanampoyezea sifa ya kuwa mgombea wa CCM labda chama kingine!

Kayasema hayo leo mchana Lumumba CCM Sub HQs!
Nampa Mangula buku saba yangu ya leo!!
 
Tina hili janga la Taifa jingine inabidi apigwe vita kwa kila hali ili asitie mguu Ikulu. Watanzania tulio wengi tumechoshwa na haya majanga ya Taifa miaka nenda miaka rudi

Kanunua hadi familia za watu
 
Last edited by a moderator:
Waendelee tu, umeme ni agenda tamu ya kuidondosha ccm na wala sio Lowasa anayehamasisha maendeleo pale ccm walipoishindwa
 
CCM siku zote wanampenda mgombea aliyejiandaa mwenyewe kifedha na kisiasa. Hii mambo ya kutaka kumwekea uzibe laigwenan lowassa kama ni kweli naona ccm hapatakua salama.
 
ila jamani tuacheni ushabiki huu mfumo wa kugeuza sehemu za ibada kuwa za kujitafutia umaarufu wa kisiasa utatupeleka pabaya,kwann wasitumie majukwaa ya siasa kujitangazia nia zao hadi wawatumie viongozi wetu wa dini kwamaslahi yao?
 
Kama kumbukumbu zangu ziko sawa kuna mwenzetu hapa JF alitabiri kuwa CCM watagombana sana kelekea 2015.time will tell.
 
Hata akikesha kanisani/Msikitini jambo ambalo ni gumu kwake wacha wana wa nchi warejeshewe kile alichowaibia.HATACHAGULIWA!
 
Mangula atakua hajasahau "wana mtandao" walichomfanya alipogombea uenyekiti wa mkoa wa Iringa
 
Mangula tunasubiri waliotoa rushwa kwenye uchaguzi wa CCM kufukuzwa. Mbona hilo umeliacha unahangaika na Lowasa? Ulikua mkweli zama za mkapa siyo sasa, tulia tu hayo huyawezi tena
 
!
!
umeme umeme umeme umeme
umeme umeme umeme umeme
umeme umeme umeme umeme
hao warumbane tu sie tukomae na umeme.......tupinge ongezeko la bei ya umeme tumwache Lowassa
 
Kwani Mangula ni nani CCM?? Si huyo huyo alimkataa Kikwete 2005 na Kikwete leo ni rais... Tusiwe wasaulifu na malimbukeni, CCM hawana choice El anataka urais na hakuna wakumzuia ccm!!! unless muendelee kujifuraisha mitandaoni..

Mangula hata akiondoka ccm kwa sasa hana impact even the president himself but not Lowassa hasa kutokana na asili ya wanachama wa ccm na wale wanaomsapoti EL.. Penda usipende mgombea wa ccm 2015 ni lowassa, ukiona vipi hama chama,

Huna akili.
 
Mangula tunasubiri waliotoa rushwa kwenye uchaguzi wa CCM kufukuzwa. Mbona hilo umeliacha unahangaika na Lowasa? Ulikua mkweli zama za mkapa siyo sasa, tulia tu hayo huyawezi tena

nalo neno
 
Mangula siasa za miaka hii viatu vimekupwaya,huiwezi hiyo nafasi bora urudi ukalime nyanya,fanya tathimini jiulize miaka 6 baada ya lowassa kujiuzulu alikua anafanya nini?leo unashtuka nini?wewe na nape mnakumbuka shuka kumekucha its too late
 
Back
Top Bottom