Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,686
- 272,544
Kwi! Kwi! Kwi! Kwi! Bwana harusi naye kaamua kutema cheche !
huo ni mziki mkubwaMangula makamu mwenyekti wa CCM Taifa amepigilia msumari mkali kwenye ndoto ya Edward Lowassa kwa kumwambia bora aondoke kwani hata simamishwa na CCM kama mgombea wake wa Urais kwani matendo anayofanya yanampoyezea sifa ya kuwa mgombea wa CCM labda chama kingine!
Kayasema hayo leo mchana Lumumba CCM Sub HQs!
Wanasiasa,wanasiasa wanasiasa wana-make headlines,si mangula,si lowassa,walopigia kelel kupanda kwa bei ya umeme,wala si Nape,,,
so sad,wachumia tumbo
Wanasiasa,wanasiasa wanasiasa wana-make headlines,si mangula,si lowassa,walopigia kelel kupanda kwa bei ya umeme,wala si Nape,,,
so sad,wachumia tumbo
HUYO NI Mangula wa nyumbani KWAKO,NA SII mzee Philip Mangula tunayemjua SISI,MWINGI wa HEKIMA,anavyo VIKAO VYA kuongelea,Hana SABABU ya kuyaongea hayo uliyomlisha,shame on you mleta MADA