Mangula: Lowassa bora uondoke kuliko kuivuruga CCM

Mangula: Lowassa bora uondoke kuliko kuivuruga CCM

Waungwana, kupitia taarifa ya habari ya channel ten makamu mwenyekiti wa chama cha mapinduzi(ccm) ametoa tamko kali kwa kusema chama hakitasita kumchukulia kiongozi yeyote hatua kama atagundulika anatoa rushwa ,anatoa michango mbalimbali kama harambe kweny maeneo mbalimbali bila idhini ya chama watachukuliwa hatua na pia ameonya makundi yote yanayokigawa chama waataitwa na kuhojiwa. Swali je hawa watoa michango hawajulikani mpaka wafanye uchunguzi, haya makundi hawayajui. Tujadili
Kwahiyo chama kinaweza kutoa 'idhini' ya kutoa rushwa?
 
Lowasa ni lini, wapi na tangu amejiuzuru u PM amepnekana ktk takrima,harambee ama hadhara kwa niaba ya CCM †Serikali. Mara zote anazoonekana ktk jamii ni yeye kama Lowasa tena hata CCM colours hazionekagi....iweje tuhusishe karipio la Makamu na Lowasa. Je wengine wenye team na wale wanaotembezwa na GS wetu nao wakitangaza nia later watasalimika na karipio hilo? Kwanini tunuona Edward tu?

Hao wanaotembezwa na 'GS' kwa mujibu wa taarifa ya Makamu Wana 'idhini'
 
Kazi mnayo! EL alivyo na usongo wakutimiza ndoto zake bila kujari madudu yanayomwandama? Hata ivyo ni desturi yenu, kwani jk magampi yalikuwa ya kisemwa dhidi yake na bado alipita. This time! You won't make it.
 
Ni tatizo lile lile...wanachukuq muda mrefu mno to take action kana kwamba wana woga fulani hivi. Wananyemeleana...
 
Huyo ni Mangula. Kikwete anamwabudu sana Lowassa

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Lowasa ni lini, wapi na tangu amejiuzuru u PM amepnekana ktk takrima,harambee ama hadhara kwa niaba ya CCM †Serikali. Mara zote anazoonekana ktk jamii ni yeye kama Lowasa tena hata CCM colours hazionekagi....iweje tuhusishe karipio la Makamu na Lowasa. Je wengine wenye team na wale wanaotembezwa na GS wetu nao wakitangaza nia later watasalimika na karipio hilo? Kwanini tunuona Edward tu?

Usishangazwe na taharuki inayo endelea ktk mitaa ya Lumumba na Magogoni kutokana na sababu ya Mtemi mmoja toka Kaskazini kutangaza kuanza safari. Kuna watu ndani ya utawala wa JK wameiba na kufanya uchafu mwingi ambao unajulikana vema kwa swahiba wao wa zamani,wamejaribu kumjenga mgombea wao mmoja project ambayo imefeli,sasa wanajaribu mwingine aliye chemsha UN!

Kadri kinyanganyiro kinavyo waendea kombo huku CDM wakiwa wamejimaliza kijinga tutasikia mengi,ikiwemo kete ya udini ambayo mpaka sasa haijawekwa wazi kwasababu ya kuogopa matokeo!
 
Leo makamu m/kiti CCM ndg Mangula leo alisikika katika vyombo vya habari kuna watu wanaleta uasi ndani ya CCM. Akawafananisha na waasi wa Somalia. Waasi hao ni wale wanaohangaika na urais. Lowassa ni miongoni mwa wana CCm wasiojificha kutafuta nafasi hiyo.

Ndani ya CDM kuna Zitto aliyeanzisha uasi kwa kusaliti harakati ya chama. Jambo la kumshukuru Mungu ni KK kumshughulikia ZZK mpaka kakimbilia mahakamani lakini haisaidia. Tunamshughulikia vilivyo. Magamba wamejitahidi sana kumtetea ZZK lakini naona wamezidiwa na makamanda.

Kwa kuwa CCM nayo ina muasi wake, nawashauri CCM members onesheni uimara wa chama kumshughulikia muasi Lowassa ( Machar) Mkifanya hivyo tutawaamini na ninyi mpo.
 
Tutasikia mambo mengi sana mpaka 2015. Lowassa ni fungu la kukosa.
 
Gamba ninyi hana ubavu,wowote juu ya huyu jamaa, kazi kama hii waachie Chadema!.

Basiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Mtu yeyote anaewaza kuwa ipo siku lowassa atakuwa rais wa nchi hii ni Juha ,Lowassa ana uwezo mkubwa sana wa kuongoza majuha, naam atakuwa rais wa majuha.
 
jamani tunahamia kwa EL tena..... heeeehh,,,
 
Back
Top Bottom