Mange ndani ya NY Post!

Mange ndani ya NY Post!

Sijawahi kumuelewa huyo chizi, sielewi anapataje wafuasi.

Hivi ulitegemea mtu mwenye akili timamu na dhamira njema kwa nchi yake, Mange Kimambi, akose wafuasi?

Utakosa wafuasi wewe mwendawazimu uliyeufanya mwili, akili, moyo na roho yako, kuwa nyumba ya ibilisi shetani, siyo watu wenye akili timamu wanaozingatia wajibu wa kuheshima haki na uhuru wa watu.
 
Acha kufanya assumptions.

Hujui kazi ambazo baadhi yetu tunazifanya huku nyuma ya pazia kuhakikisha Samia na wauaji wenzake wanawajibika.

Sina haja ya kuja hapa na kutangaza kila kitu.
Hongereni sana kwa kila jitihada mnazozifanya dhidi ya wauaji mashetani, zinazolenga kutetea haki za binadamu wenzenu.
Tunamwomba Mungu wetu awajalie ushindi, na laana ya damu ikatande juu ya wauaji wote na vizazi vyao vyote.
 
Kwamba ulitekwa? πŸ˜‚
🀣🀣🀣
Kuna I'd nilikuwa naiparamia kama unavyoparamia ids za watu humu, basi kuna siku akaandika mawasiliano yako na akasema ni Mkurugenzi wa fedha na utawala Gulf Oils UAE nikajua masihara siku anatua TZ akani PM nikampigia, akasema nitakuwa Serena Hotel jioni nipigie saa 12 jioni

Jioni nikampigia nikaenda mpaka Serena Hotel napiga simu inapokewa na msaidizi wake akaniambia Dr ana mazungumzo na Mheshimiwa Waziri, kuingia mpaka ndani aisee nilikuta kuna Ulinzi wa kutisha, mbona nilikula kona.

Kuna I'd nyingine nilikuwa na associate naye sana kwenye utani na kejeli akaniomba namba ya simu nashangaa inanipigia namba ya UK akaniambia December atanitafuta ni kweli nakumbuka ile 15 December 2012 akanipigia tukakutana JB Belmont pale NSSF HQ Posta kula sana monde kwenye age yangu ya 25's jamaa akaniambia ni Dr UK huko na anachukua PhD yupo humu humu.

Na mwingine naona huwa naona unamchokonoa sana lakini ni tofauti na vile unavyomchukulia ni mtu mwenye roho nzuri na heshima na tunashirikiana na baadhi ya wadau ndani na nje ya huu mtandao.

Slow Down Kijana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kumbe ninachokonoa watu wazito na wanaitika basi ni nyota kubwa sana mm

Haya nitakucheki mkuu, nami Nile mema ya nchi
 
🀣🀣🀣
Kuna I'd nilikuwa naiparamia kama unavyoparamia ids za watu humu, basi kuna siku akaandika mawasiliano yako na akasema ni Mkurugenzi wa fedha na utawala Gulf Oils UAE nikajua masihara siku anatua TZ akani PM nikampigia, akasema nitakuwa Serena Hotel jioni nipigie saa 12 jioni

Jioni nikampigia nikaenda mpaka Serena Hotel napiga simu inapokewa na msaidizi wake akaniambia Dr ana mazungumzo na Mheshimiwa Waziri, kuingia mpaka ndani aisee nilikuta kuna Ulinzi wa kutisha, mbona nilikula kona.

Kuna I'd nyingine nilikuwa na associate naye sana kwenye utani na kejeli akaniomba namba ya simu nashangaa inanipigia namba ya UK akaniambia December atanitafuta ni kweli nakumbuka ile 15 December 2012 akanipigia tukakutana JB Belmont pale NSSF HQ Posta kula sana monde kwenye age yangu ya 25's jamaa akaniambia ni Dr UK huko na anachukua PhD yupo humu humu.

Na mwingine naona huwa naona unamchokonoa sana lakini ni tofauti na vile unavyomchukulia ni mtu mwenye roho nzuri na heshima na tunashirikiana na baadhi ya wadau ndani na nje ya huu mtandao.

Slow Down Kijana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kaka naomba connection basi mtu mzito
 
Back
Top Bottom