de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 11,658
- 23,250
Wewe ni msengelema tu, Mnatafuta kila mbinu lakini mnaishia kula za uso tu ndanda head nyieHuyu basi kavuka kwenye ukichaa yupo uwendawazimu
Wewe ni msengelema tu, Mnatafuta kila mbinu lakini mnaishia kula za uso tu ndanda head nyieHuyu basi kavuka kwenye ukichaa yupo uwendawazimu
That lady hata humu alikuwepo ilikuwa Moto wa kuotea mbali Nyuzi zake Views 2M per day🤣🤣Ndio alimtoa Faraja Nyalandu, Nancy Sumari na Wema Sepetu..
Ameitawala internet toka enzi za blog hadi social media. Na kila anachokifanya kinakuwa successful
Hata developers wa Tanzania walishangaa alivyopiga pesa ndefu kwenye app. Kitu ambacho wao pamoja na grants ndefu hawajawahi fanya
She is smart, strategic, exceptionally consistent na ana strong intuition. Ukiambiwa ni mtoto wa ex-officer wa usalama wa taifa hukatai. She is GIFTED 📍
huo mstari ndio ulio haribu wasilisho lako, otherwise una hoja.Yaani unaambia mwanamke ni rider alaf umeweka makebo yako kwa kochi?
tumkumbuke kwenye maombi.Huyu basi kavuka kwenye ukichaa yupo uwendawazimu
Hakuna Nime insist tuhuo mstari ndio ulio haribu wasilisho lako, otherwise una hoja.
The way your point was pressed came across a bit too strong and caused some unnecessary tension. A more polished approach would have prevented such misunderstandingHakuna Nime insist tu
Bird kama Gallow birdVichwa maji,mabumunda, mipang'ang'a ipo mingi
Nami sijawahi kukuelewa, dume zima linakuwa chawaSijawahi kumuelewa huyo chizi, sielewi anapataje wafuasi.
Mtaelewana tuNami sijawahi kukuelewa, dume zima linakuwa chawa
Imagine ana kigugumizi 😁😁 pengine ndio maana kwenye kuandika yupo 10/10That lady hata humu alikuwepo ilikuwa Moto wa kuotea mbali Nyuzi zake Views 2M per day🤣🤣
Story za madada wa mjini 😁😁😁Nikikumbuka uturn enzi hizo hatari.
HahahaImagine ana kigugumizi 😁😁 pengine ndio maana kwenye kuandika yupo 10/10
Aliacha umbeya, akaipiga siasa ila alivyorudi kwenye umbeya kwa kutumia app. Bado akawa vizuriwasi wasi wangu ni kwamba hata kama akaunti yake ikifunguliwa tena leo sidhani kama itakuwa moto kama ilivyokuwa mwanzoni na sababu kubwa ni jinsi nature ya binadamu ilivyo, hiyo gap ya kuwa offline ni kubwa kuja kuirudisha wengi walisha move on.
atakuwa na kazi ya ziada kurudisha old glory days, it will never be the same again kwa maoni yangu ...
Aliacha umbeya, akaipiga siasa ila alivyorudi kwenye umbeya kwa kutumia app. Bado akawa vizuri
Alipoteza account ina watu 7 million.. Akaanza siasa tena kwa account nyinginr ya watu m1,
katikati ya miezi miwili mitatu akafikisha followers zaidi ya 2.5 nadhani. Yani ongezeko lake la followers (1.5) kuna wasanii hawana hiyo number kwa career ya miaka mingi
Unachosema kinaweza kutokea ila Mange ana influence sana na anachokifanya. Ni wachache wanaweza kukifanya ndio maana presence yake mtandaoni inaogopeka
Kweli kabisa! Namuombea Maisha marefu aje kuiona Tz anayoitaka.Mdada anajiamini sanaaaa....
Ana akili mingi hyo uje na hoja nzito kupinga hilo
Ana exposure ya hali ya juu...
Ana misimamo
AminaaKweli kabisa! Namuombea Maisha marefu aje kuiona Tz anayoitaka.
Kwenda huko choko weweASANTE KWA KUITANGAZA TANZANIA KWA MABAYA LAKINI ELEWA DUNIA ITATUPOKEA KWA MEMA!.....YALIYOPO TANZANIA!..