Consigliere
Platinum Member
- Sep 9, 2010
- 12,690
- 26,580
Kilikua kinaitwa AVU, ni kama affiliation Fulani hiviAlisoma visual nini sijui , hicho kitengo kilikua chini ya computer science ,ila aliishi mabibo alikuwa na kigari hivi , ila alikuwa Matawi ya juu , ukilinganisha na sisi kina kaluma nzila . Hakugombania shuttle kama wengine kina kayumba walioiishi mabibo