Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 10,588
- 7,965
Huyo mkeo mwenyewe usikute kama wasira , nyodo kibao.
Wasira as in yule mbunge wa zamani wa Bunda sijuwi? Mke wangu hatishi kivile, shes a super woman.
Huyo mkeo mwenyewe usikute kama wasira , nyodo kibao.
Acha wivu wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]alete vyeti vyake toka kuzaliwa hadi elimu yake ya juu
na mimi nitaleta vyangu
Use common sense when u r with commoners!mange hana mkopo yule aliishia la saba elimu yake kaunga unga sana ana certificate ya uarabuni ya sayansi kimu