Mange Kimambi: OC-CID wa Arusha (Omary Mahita) alikuwepo na alikuwa anafuatilia live tukio la kutekwa Banjoo

Mange Kimambi: OC-CID wa Arusha (Omary Mahita) alikuwepo na alikuwa anafuatilia live tukio la kutekwa Banjoo

Tanzania bila vikundi vya uasi kupata siraha polisi wataonea sana watu, ingekuwa ni south America Familia ya Mahita jr, ingekipata ,afu unakuta mke wake ,watoto wake wote wapo hapo Arusha afu mnawaangalia tu eti Mungu yupo, hii nchi bila ya raia kuwa na siraha hatutaheshimiana
 
Jamaa ni jambazi aliyeshindikana ndo mana wakaaamua wammalize
Tatizo lilipo wanamalizana pia na raia wema. Mdude hakua jambazi, soka hakua jambazi ali kibao hakua jambazi, Ben saanane hakua jambazi

Hawa huwa hawachagui, hapo wamemmaliza sio kwamba sababu alikua jambazi Bali kutakua na jambo lingine
 
Back
Top Bottom