Mie nashangaa sana Wabongo utasikia wakisema oooh kuvaa bikini ni mambo ya Western hahahaha huuu ni ushamba uliopitilia i hate to hear this bullshiit,Hivi nyie nani kawaloga kumbukeni hizi nguo zote zilitoka huko huko West so hapa Bongo wakati huo walikuwa hawavai nguo so tungesema kuvaa Bikini ndio utamaduni wetu,watu enzi hizo walikuwa wanavaa majani na wanaficha pale mbele tu na kwa wanawake walikuwa wanafanya hivyo hivyo sema wao waliongeza kufunika vifua vyao so what difference kati ya majani yale na bikini za leo au za zamani hizo walizokuwa wakivaa wazungu hao vipi bora???Acheni mambo ya ajabu ajabu mara utasikia huu si utamaduni wa Kibongo so utamaduni wa kibongo ni kumbukizana ukimwi na rushwa au???