Mange Kimambi ndani ya bikini. Safi hiyo

Status
Not open for further replies.
tumbo gani unaongelea hapa...mdada ni wa ukweeeeeee huyu appeal kwa muumba wake
550251_443742512355644_1279303747_n.jpg
259818_495618597139016_1000138171_n.jpg
mtoto ana kinywa cha nguvu, hata akila chapati hana haja ya kuikunja, yapita nzimanzima.
 
wewe mshamba linda is one of the byutifuli woman aisee....and sakseful as well....kuna wakati nilikuwa namtamani kingono kweli kweli.....na hana mdomo mchafu kama muke ya muzungu....

Basi wewe kweli haumjui kwaq tuliyoyaona humu mitandaoni recently ni duh
 

Nilishakujua wewe ni anti MK ila unakuja humu kurusha picha za ajabu, kumbe donge unalo bado. Kwa business hauoni ndani kwake kwa kweli. Sijapenda wewe miaka 40 unajirusha mapicha yako humu kujionyesha, si utulie au? Kwa nini hujaanzisha thread yako ya photos before hii?

Sipendi wanawake wanaovuka mipaka mie.
 
mange ni huyo huyo kim kardash anajipigia debe/promo humu....huna lolote.

kuzuia fikra za mtu ugumu wake ni sawasawa na kujaribu kutafuta chawa katika nywele za mtu mwenye kipara!- tafakari.

una beef na linda,just come open bitch usimtumie mange kama kivuli kumrushia mawe linda nyau we :nimekataa:shut-mouth:

na wewe usilete vioja vya mchunga ng'ombe,kumtandika bakora ng'ombe alienyuma ya msururu wa ng'ombe anaowaswaga ili kumlazimisha atembee haraka,lakini anasahau kuwa huyu ng'ombe mwendo wake unategemea zaidi mwendo wa ng'ombe walio mbele yake..kukusaidia tu ni kwamba ulitakiwa kupeleka mashambulizi yako haya binafsi kwa aliemleta linda kwenye hii thread,rudi page 2 utamkuta huko na nilimuuliza linda anaingiaje hapa kwenye bikini ya mange,akaishia kusaka picha za linda kwenye mablog na kuja kuzipachika hapa

nonsense....kubwa zima linaandika utumbo,sio wewe uliyesema linda ana tumbo kubwa?as if linakuhusU....

N a wewe kumbe ni katika wale wanaodandia treni tena ya mwakyembe kwa mbele,acha uvivu rudi page 1 &2 utajua nani alimleta linda humu kwenye hii thread,acha matusi jenga hoja,kama kaletwa humu ni halali yetu yakhe,usitulaumu sisi mlaumu aliemleta kwani hakukua na ulazima kabisa wa kumleta,rudi page 1&2

si ndio tunaendelea kumjadili kwa kuwa ameletwa humu,au mwisho ilitakiwa baada ya wewe kusema ana tumbo kubwa?usiniambie mambo ya hoja...ungekuwa mtu wa hoja vitu kama bikini na matumbo ya watu visingekuwa fascinating kwako....

mimi nilichokifanya ni kuielezea picha kama ilivyowasilisha,tumbo kweli hata wewe nadhani unaliona

well,lets see wewe na huyo mange at 40 na watoto wanne kama mtaendelea kuwa na flat stomachs.....am off.


ohh! God!!... calm down guys! .... ugomvi wa nini..?
 
Nilishakujua wewe ni anti MK ila unakuja humu kurusha picha za ajabu, kumbe donge unalo bado. Kwa business hauoni ndani kwake kwa kweli. Sijapenda wewe miaka 40 unajirusha mapicha yako humu kujionyesha, si utulie au? Kwa nini hujaanzisha thread yako ya photos before hii?

Sipendi wanawake wanaovuka mipaka mie.

duh! Kumbe Matola ni demu mi nilijua anakojoa huku amesimama kumbe hamna halafu kumbe ndio linda!
 
Last edited by a moderator:
Linda sijuwi kama unakuja humu JF, kama unakuja tafadhali naomba unitaarifu unakuja lini Bongo nikupokee. Nataka kuchukua ruhusa mapemaaaaaaa na kufanya mazoezi pamoja na kula karanga kwa wingi kwa ajili yako. Eti mke wa mzungu, mzungu mwenyewe kalishwa limbwata hajuwi kajiingiza kwenye gemu gani. Mtu kama Mange ni wa kupiga kisha unasingizia kwenda haja chooni, ndo unakitoa hivyo moja kwa mbele, hakuoni mpaka kunako majaliwa ya mwenyezi Mungu tena unajifanya una hasira ili asikuulize swali. Linda jamani, nalilia paja hilo na mwili wa kiafrika usio feki. Tafadhali usiniangushe, nipe contact zako.
 
yan kuna watu humu wanavichekesho acha kabisa.JF is never boringgggggggg


Na ndiyo maana siku hizi hapa Tanzania magazeti hayanunuliwi kabisaaaaaaa, na sasa bunge la Tanzania wanataka kuiua JF ili watu warudi kusoma magazeti ya chama (uhuru, mzalendo, Daily, na sunday news) kama awali.
 
Hahahahaha. Anachezesha mechi ya Barcelona na Mbagala Market

nyie ndio mnalazimisha mechi ambayo haipo,zimewekwa picha za mtu yuko beach na vazi la ufukweni,badala ya kujadili kilichopo mmemleta mtu ambae hata hausiani an kilchopostiwa,manake bora basi na yeye angekua kavaa bikini,lakini wapi nyie kwa utashi wenu tu mmeamua kuleta ligi isiyokuwepo,mfano kulikua na haja gani ya kuweka picha za huyu mama wa watu kwenye hii thread?
 
KIM KARDASH na Mange hapa mtasubiri sana. Hamtafika kamwe
58704_482056238495252_49075236_a.jpg

Nyie hata mlete picha gani hazitaweza kubadilisha ukweli kuhusu umri wake,huyu ni mama wa makamo,mange ni age ya wadogo zake wale wa mwisho mwisho kina richard yule wa big brother,vitu viwili tofauti,kama kifo na usingizi,vinafanana tu lakini ni tofauti sana
 
KIM KARDASH acha majelous
kwanza huyo mange nadhani una beef nae umemleta tu humu ili atukanwe..maana unajua kabisa humu jf malaria haikubaliki
mimi simchukii mange hata but siwezi kumleta humu wacha unafiki!
basi hata yeye ana beef na yeye mwenyewe,mana pia kaziweka kule kwake,na wapiga madongo wanamgonga kama kawa,wafagiliaji nao wanafagilia kwa bidii zote,so hakuna jealous hapo bali ni katika kuupanua mjadala tu kutoka social network moja kwenda nyingine ili kupata wigo mpana zaidi
 
Kwani huyu Mange ni nani na Linda naye ni nani na wana mafanikio gani?
HUYU ni MANGE na mafanikio yake,na chini Da LINDA NA MAFANIKIO YAKE!
BONGOLICIOUS.....WE ARE FINALLY IN BUSINESS.......
Tomorrow Nov 5th 2012 will be our very first business day...Allah is great..... Leo i started my day kwenye vitambaa...... Aaaawwww Mama Bongolicious.... Blondie......lol.... We finally moved in today........We will keep upgrading the store as we go along ila i think this is a great start.... aaaawwwww....Bongolicious humble beginnings...... SASA JINA LA CEO NDO LINANIFAAAA HASWAAAA.....MAANA NIMEKUWA CEO WA UKWEEEEEE......HAHAHAHHHA

chini pichani nae
Da linda akiwa kazini kwake


 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom