Mange Kimambi ndani ya bikini. Safi hiyo

Status
Not open for further replies.
Acha ushamba wewe mambo ya mbele ni huko huko mbele na ya huku nyuma tuachieni wenyewe hivi wewe unaweza kaa hivyi mbele ya mwanao

Tatizo lako munaendekeza sana ngono, na nyie ndio mnaokuja kubaka wanenu. Kama huendekezi ngono why not?
 
Wewe hujui kabisa na unatia aibu bana toka hapa
534383_283991771712076_341895898_n.jpg
 
Shost wa mama yako labda,mimi sina shost.Kama ana mvuto kwa mmewe si ndo inavyotakiwa?pilipili usiyoila yakuwashia nini.mimi wote Linda na Mange nawaona sawa tu
420932_478405665526976_1911284666_n.jpg

Kama huoni tofauti ya Mange na Huyu basi mimi sina sababu ya kuendelea na mjadala huu na wewe- inaelekea una mapenzi ya kupitiliza hata lililo chongo wewe waona ni kengeza!!!
 
kiukweli linga ni mzuri sio kidogo ila mdomo mchafu anao sana tu kuna siku huyo mange aliingia anga zake mbona alimfungia mtaaa ila linda ni mzuri mnoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo wapi LARA1
420932_478405665526976_1911284666_n.jpg

cheki mguu wake then cheki na huu wa bibi mange
534383_283991771712076_341895898_n.jpg
hivi kuna watu bado mko very interested na kina mama wenye matumbo makubwa na minyama uzembe,sasa hilo tumbo utalipeleka wapi jamani unless awe mjamzito lakini kwa tumbo hilo hapana!
 
Hapa umevunja ubishi kulinganisha picha ya Mange na Linda, pia naona hata Mange mwenyewe kajifungia chooni huku akilia kummind Linda na guu lake. Kuna mademu wameumbika jamani na mange is NOT even close, sema tu anajishebedua na kulazimisha watu wamkubali. Yaani demu akivaa kiatu anaoenakana kama vile kiatu kimemvaa yeye kwa ile miguu ya chelewa/toothpick, vitako vimekomaa na vimeingia ndani kama mzungu mkulima (red neck). Kwanza ni kosa kumafananisha Mange na Linda, Linda ni taifa kubwa na kilio karibia ya kila mwanamme (uzuri, mvuto, guu, t.ako, tabasamu), Mange ni wa kuchapa tu (one night stand) na kuacha kwenye mataa kisha unasingizia umefiwa ili uondoke. Mwanamke kama Mange ilibidi aolewe na mzungu kwani wazungu wanapooa wanawake wa kiafrika mara nyingi unakuta huyo mwanamke is a reject kwenye society yetu (sura, shepu, macho, miguu, u-fake mwingi), chunguzeni tu mtaona.

Tatizo la linda ni utu uzima wake,sasa huwezi kumuweka kwenye ligi moja na hawa watoto kama sintah,mange n.k.hawa ni wadogo hata kwa watu wa rika la marehemu amina chifupa ambae pia kwa linda alikua ni mtoto mdogo tu sasa unamuweka vipi mtu kama sintah au mange katika mizania moja na mkongwe kama linda,ndio mana nikasema linda wenzake ni kina madame rita japo nae ni mdogo kidogo,asha baraka,hadija kopa,rose baby(aliekua mke mdogo wa babake mange,mzee kimambi) na wazee wenzao wengine
 
Kwa hiyo unakubali kuwa kujisitiri ni utamaduni wetu au sio, ndo maana tuliona bora kufunika na majani kuliko kukaa uchi kabisa ukizingatia pia hatukuweza kutengeneza majani ya kufunika mwili mzima kutokana na uwezo mdogo katika ubunifu.

Baada ya wazungu kutuletea nguo tuliacha kukaa uchi. Ndio maana hata wewe pamoja na kujishaua kwakp hujaleta picha zako za bikini mtandaoni. Na ukumbuke pia kuwa issue hapa sio tu kwamba ni kinyume na maadili ya kitanzania bali ni kiafrika generally.

Kwa kuhitimisha nasema huu ni utamaduni wa kizungu kwa sababu wanaweza kukaa familia nzima ndani ya bikini na hakuna kushangaana, kwenu hamuwezi unless mnaishi mbele... hawa kina mange wanafogi tu.

Huu mjadala sasa unataka kuwa mpana zaidi,mzee hapo ndio umechanganya mambo kabisa,kuvaa nguo ni utamaduni wa kizungu tuliouiga,utamaduni wetu kiasili sisi ni watu wa kukaa bila nguo!Ntakuwekea mifano michache ya waafrika wenzetu walofanikiwa sana kudumisha mila,desturi na utamaduni wa mtu mweusi ili zikusaidie kujifunza utamaduni wetu may be utaachana na umagharibi wa kuvaa nguo siku moja au angalau utamruhusu mkeo au dadako avae na kupendeza kama hawa dada zetu wa kiafrika hapa,unaona wanavyomeremeta?...enjoy

529200_161167554008785_239602900_n.jpg

so kabla ya kuwashambulia angalau waliojihifadhi kwa bikini tuanze na hawa basi,maana tunaendekeza sana utamaduni wa kuiga kwa wazungu (kuvaa nguo)
 
mange ni huyo huyo kim kardash anajipigia debe/promo humu....huna lolote.

kuzuia fikra za mtu ugumu wake ni sawasawa na kujaribu kutafuta chawa katika nywele za mtu mwenye kipara!- tafakari.
 
kuzuia fikra za mtu ugumu wake ni sawasawa na kujaribu kutafuta chawa katika nywele za mtu mwenye kipara!- tafakari.

una beef na linda,just come open bitch usimtumie mange kama kivuli kumrushia mawe linda nyau we :nimekataa:shut-mouth:
 
una beef na linda,just come open bitch usimtumie mange kama kivuli kumrushia mawe linda nyau we :nimekataa:shut-mouth:

na wewe usilete vioja vya mchunga ng'ombe,kumtandika bakora ng'ombe alienyuma ya msururu wa ng'ombe anaowaswaga ili kumlazimisha atembee haraka,lakini anasahau kuwa huyu ng'ombe mwendo wake unategemea zaidi mwendo wa ng'ombe walio mbele yake..kukusaidia tu ni kwamba ulitakiwa kupeleka mashambulizi yako haya binafsi kwa aliemleta linda kwenye hii thread,rudi page 2 utamkuta huko na nilimuuliza linda anaingiaje hapa kwenye bikini ya mange,akaishia kusaka picha za linda kwenye mablog na kuja kuzipachika hapa
 
nonsense....kubwa zima linaandika utumbo,sio wewe uliyesema linda ana tumbo kubwa?as if linakuhusU....
 
nonsense....kubwa zima linaandika utumbo,sio wewe uliyesema linda ana tumbo kubwa?as if linakuhusU....

N a wewe kumbe ni katika wale wanaodandia treni tena ya mwakyembe kwa mbele,acha uvivu rudi page 1 &2 utajua nani alimleta linda humu kwenye hii thread,acha matusi jenga hoja,kama kaletwa humu ni halali yetu yakhe,usitulaumu sisi mlaumu aliemleta kwani hakukua na ulazima kabisa wa kumleta,rudi page 1&2
 
si ndio tunaendelea kumjadili kwa kuwa ameletwa humu,au mwisho ilitakiwa baada ya wewe kusema ana tumbo kubwa?usiniambie mambo ya hoja...ungekuwa mtu wa hoja vitu kama bikini na matumbo ya watu visingekuwa fascinating kwako....
 
mimi nilichokifanya ni kuielezea picha kama ilivyowasilisha,tumbo kweli hata wewe nadhani unaliona
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom