Mange Kimambi amjibu Godbless Lema

Mange Kimambi amjibu Godbless Lema

Kutoka jijini Los Angeles huko Marekani, Mwanaharakati na Dada wa Taifa Mange Kimambi amemjibu Godbless Lema ambaye anadaiwa kulamba asali na kutuhumiwa mitandaoni kwa usaliti.

Ameanza kwa kusema Moja ya vitu Chadema imejijengea katika jamii ni kwamba wanapigamia utawala wa Sheria. Kwamba wanapigania HAKI, Ila Lema kwenye PRESS yake ya Jana ni wazi ameona ni vyema apitie njia za PANYA. Njia za kupigiana simu na kuongea na wakubwa fulani. Njia za kuomba huruma kwa wauwaji, njia za Kuwapigia magoti watekaji, Serekali haramu.

Mange ameendelea kusema LISSU yuko ndani mpaka sasa hivi kwasababu anapigania utawala wa Sheria. Angetaka kutoka kwa huruma za watu angeshatoka Kitambo sana.

Mange ameenda mbali na amekumbushia kuwa Mbowe ambaye aliingia JELA na Mbowe aliyetoka jela
walikuwa ni watu tofauti kabisa kwa Sababu alitoka Jela kwa huruma za Samia Suluhu ndiyo maana alipotoka akaamua kuiuza CHADEMA, gafla akaanza kuimba mapambio.

Akaendelea kusema kuwa LEMA anataka LISSU naye atoke jela kwa huruma za Samia ili naye akauze CHADEMA.
Mange ameendelea kusema LEMA ameshafika bei, sasa anajaribu kuimaliza CHADEMA.

Kwa uchungu mkubwa Mange ameendelea kusema Abdul anamdharau LEMA kupita kawaida, anamuona LEMA ni mshamba na poyoyo hasa baada ya kutetemeka alipopewa maburungutu ya pesa za damu. Mange amedai pamoja na Lema kumtusi na kumuita Mpumbavu bado heshima yake iko pale pale na kwamba Abdul ana muheshimu yeye Mange kimambi kupita kawaida. MANGE amedai Abdul alivyomfuata huko Marekani aligoma kuhongwa, alisimama kidete ila LEMA kanunulika.

Amedai kuwa LEMA akiziona hela za Abdul anatetemeka mpaka Abdul anamuona mshamba, anamcheka na kumuona popompo. Mange amedai kuwa Abdul ambaye ameishia darasa la nne amemteka LEMA kiakili kiasi LEMA amekuwa poyoyo. Kile ambacho Lema anaita ni Strategic Engagement ni janja tu maana ameshafika bei.

My take: Mange ameacha maswali ya msingi sana.
Je, imekuwaje chama kinachodai haki na sheria, mmoja wa viongozi wake anaenda kuomba huruma kwa wale wale wanaotakiwa kuwajibika kwa mujibu wa sheria?

Basi watu watafakari, wakisema: Je, haki hudaiwa kwa sheria, au hutegemea huruma ya wenye mamlaka?
Mtu akiishajiita nabii na kutabiria wenziwe mabaya ujue ni TAPELI. Anaemuamini lema kwa sasa kwamba mpinzani akapimwe mkojo
 
Yamekuwa hayo tena?? 😅😄😹😆😂🤣
Sipendi kuona mtu mbele ya kamera kuonekana mwamba kumbe nyuma ya kamera ni mwanga. Hii hatari maana anaweza kuwaumiza wenziwe huku akijifanya kucheka. Bora usimame upande 1 ili watu wakujue upo wapi, ataekufuata akufate ataekukimbia akukumbie. LEMA AENDE CHAUMA KWA YERICKO NYERERE Akamshabulie LISSU mitandaoni au avae kijani akaishi kwenye mafeni huku upepo ukimpuliza
 
Tatizo pia ni watanganyika wenyewe hawako tayari kusimama na wanaowapigania, muda mwingi wanajishughulisha na mpira, ngono, bongofleva.

Yanayomkuta Lissu ilitakiwa umma wote wa watanganyika usimame nae Kwa kuandamana nk.

Kinyume chake ni Lissu kusota gerezani peke yake, Lissu anapigania watumwa wasiotaka kuwa huru.

Watanganyika bado ni wajinga na mambumbu, Lema amelitambua hilo na ameona Bora asimamie kesho yake na familia yake kuliko kuishia kuwa kama Polepole, Nchimbi, Ben Saanane, na wahanga wengine wengi walioamua kusimama na wadanganyika wasiojitambua.
 
Hicho alichokisema Mange nilikisema hapa.

Baada ya Lema kusema, ndiyo kilikuwa kitu cha kwanza nilicho point out contradiction ya Lema kutaka fadhila za Samia wakati huo huo kila siku watu wa upinzani wanaimba kupinga nguvu kubwa za rais na kukataa mahakama kuendeshwa kwa amri kutoka juu.

The sad thing is, mahakama ikishaamuru Lissu apewe haki zake za kuonana na wanasheria wake na viongizi wa CHADEMA.

Sasa Lema anaenda kumpigia magoti Samia kuomba haki ambayo Lema kashapewa na mahakama?
Kuna nguvu kubwa sana inatumika kumtetea Lema ila ukifuatilia kwa ukaribu, hajakanusha tuhuma kubwa juu yake kuwa

"Anaamini njia za panya kwa kuwa na regular contact na watu wazito kwenye system ili maridhiano yafanyike"

Hii ndio ilikuwa kubwa na yeye hajapinga ila alichokipinga ni kuonekana anafanya hilo kwa maslahi binafsi na si kwa maslahi ya chama "kununulika"...

Lakini kama ni kwa maslahi ya chama ni sawa lakini mbona hajaainisha kama kuna concern ya viongozi wake wa chama. That means anafanya peke yake kwa akili yake, yes strategic engagement ni muhim katika kupata suluhu lakini kwa act kama hii amejidhihirisha kuwa he is the one to call pale system inapohitaji kitu kutoka CHADEMA pasipo kupitia mifumo ya chama "the mediator"

Sasa wanaomtetea hawalisemi hili, hata kama hukubaliani na Mange, hata kama Lema kamuita bad names na pengine anazistahili. Lakini Je, Mange kakosea kuzitoa zile tuhuma basic. Kwangu mimi ni HAPANA na hazijapingwa na Lema
 
Sipendi kuona mtu mbele ya kamera kuonekana mwamba kumbe nyuma ya kamera ni mwanga. Hii hatari maana anaweza kuwaumiza wenziwe huku akijifanya kucheka. Bora usimame upande 1 ili watu wakujue upo wapi, ataekufuata akufate ataekukimbia akukumbie. LEMA AENDE CHAUMA KWA YERICKO NYERERE Akamshabulie LISSU mitandaoni au avae kijani akaishi kwenye mafeni huku upepo ukimpuliza
🙏🏋️💪
 
Watanzania sio wajinga...

Wanajua kuchambua mbivu na mbichi

Anyways, kiongozi wa upinzani kuwa karibu na watawala ni big red flag
 
Mange nonsense...

- Lema anadharauliwa sana na Abdul... ooh mimi Mange Abdul ananiheshimu sana..!

Hiyo heshima anayodai kupewa na Abdul yeye alijuaje kama anapewa?

Nae huwa anaongea na Abdul kwa simu sio!.

- Lema alipowekewa maburungutu ya pesa alitetemeka!, alikuwepo akamuona Lema akitetemeka?!

Anaishi kwa habari za kuambiwa kisha anaziamini kwa 100% then anataka na wengine tuziamini kama anavyoziamini yeye!

Kila siku ushahidi hana, ni kelele tu, ndio maana akipingwa anatishia kuwasemea wengine ili wafukuzwe U.S.

Kuwa mfuasi wa hiki kiumbe lazima uwe mjinga kama chenyewe, Lema aache kuhangaika na hii akili ndogo anapoteza muda.
Hivi kwa press ya kitoto kama ile aliyotoa Lema hata kama mtu ameishia darasa la pili unajua kabisa alikuwa anaongea baada ya kulamba asali na sharti ni moja tu, ukilambishwa asali lazima utoke hadharani kuongea vitu visivyoeleweka kama alivyofanya Lema.

Lema ni opportunist hata ukimwangalia tu yupo kimaslahi na sio kizalendo.
 
Kutoka jijini Los Angeles huko Marekani, Mwanaharakati na Dada wa Taifa Mange Kimambi amemjibu Godbless Lema ambaye anadaiwa kulamba asali na kutuhumiwa mitandaoni kwa usaliti.

Ameanza kwa kusema Moja ya vitu Chadema imejijengea katika jamii ni kwamba wanapigamia utawala wa Sheria. Kwamba wanapigania HAKI, Ila Lema kwenye PRESS yake ya Jana ni wazi ameona ni vyema apitie njia za PANYA. Njia za kupigiana simu na kuongea na wakubwa fulani. Njia za kuomba huruma kwa wauwaji, njia za Kuwapigia magoti watekaji, Serekali haramu.

Mange ameendelea kusema LISSU yuko ndani mpaka sasa hivi kwasababu anapigania utawala wa Sheria. Angetaka kutoka kwa huruma za watu angeshatoka Kitambo sana.

Mange ameenda mbali na amekumbushia kuwa Mbowe ambaye aliingia JELA na Mbowe aliyetoka jela
walikuwa ni watu tofauti kabisa kwa Sababu alitoka Jela kwa huruma za Samia Suluhu ndiyo maana alipotoka akaamua kuiuza CHADEMA, gafla akaanza kuimba mapambio.

Akaendelea kusema kuwa LEMA anataka LISSU naye atoke jela kwa huruma za Samia ili naye akauze CHADEMA.
Mange ameendelea kusema LEMA ameshafika bei, sasa anajaribu kuimaliza CHADEMA.

Kwa uchungu mkubwa Mange ameendelea kusema Abdul anamdharau LEMA kupita kawaida, anamuona LEMA ni mshamba na poyoyo hasa baada ya kutetemeka alipopewa maburungutu ya pesa za damu. Mange amedai pamoja na Lema kumtusi na kumuita Mpumbavu bado heshima yake iko pale pale na kwamba Abdul ana muheshimu yeye Mange kimambi kupita kawaida. MANGE amedai Abdul alivyomfuata huko Marekani aligoma kuhongwa, alisimama kidete ila LEMA kanunulika.

Amedai kuwa LEMA akiziona hela za Abdul anatetemeka mpaka Abdul anamuona mshamba, anamcheka na kumuona popompo. Mange amedai kuwa Abdul ambaye ameishia darasa la nne amemteka LEMA kiakili kiasi LEMA amekuwa poyoyo. Kile ambacho Lema anaita ni Strategic Engagement ni janja tu maana ameshafika bei.

My take: Mange ameacha maswali ya msingi sana.
Je, imekuwaje chama kinachodai haki na sheria, mmoja wa viongozi wake anaenda kuomba huruma kwa wale wale wanaotakiwa kuwajibika kwa mujibu wa sheria?

Basi watu watafakari, wakisema: Je, haki hudaiwa kwa sheria, au hutegemea huruma ya wenye mamlaka?
Lema aliandikishe NIDA jina lake jipya la Godbless Lema Pompompo.Alipie urekebishaji huo kwa hela aliyolipwa na Abdul.
 
Huyo Abdul hizo pesa za kugawa anatoa wapi?

Kwanza twambie jibu swali jepesi zaidi

Tundu Lissu yupo Lupango lkn kuagiza milioni 15 ziende kwenye Msiba wa Kakake Alute

Pesa izo nani anatoa kutokea account yanani ???

Mana yeye yupo Lupango unaweza kutwambia pesa zinatokea wapi
Nani mwenye kusaini ???
 
Kutoka jijini Los Angeles huko Marekani, Mwanaharakati na Dada wa Taifa Mange Kimambi amemjibu Godbless Lema ambaye anadaiwa kulamba asali na kutuhumiwa mitandaoni kwa usaliti.

Ameanza kwa kusema Moja ya vitu Chadema imejijengea katika jamii ni kwamba wanapigamia utawala wa Sheria. Kwamba wanapigania HAKI, Ila Lema kwenye PRESS yake ya Jana ni wazi ameona ni vyema apitie njia za PANYA. Njia za kupigiana simu na kuongea na wakubwa fulani. Njia za kuomba huruma kwa wauwaji, njia za Kuwapigia magoti watekaji, Serekali haramu.

Mange ameendelea kusema LISSU yuko ndani mpaka sasa hivi kwasababu anapigania utawala wa Sheria. Angetaka kutoka kwa huruma za watu angeshatoka Kitambo sana.

Mange ameenda mbali na amekumbushia kuwa Mbowe ambaye aliingia JELA na Mbowe aliyetoka jela
walikuwa ni watu tofauti kabisa kwa Sababu alitoka Jela kwa huruma za Samia Suluhu ndiyo maana alipotoka akaamua kuiuza CHADEMA, gafla akaanza kuimba mapambio.

Akaendelea kusema kuwa LEMA anataka LISSU naye atoke jela kwa huruma za Samia ili naye akauze CHADEMA.
Mange ameendelea kusema LEMA ameshafika bei, sasa anajaribu kuimaliza CHADEMA.

Kwa uchungu mkubwa Mange ameendelea kusema Abdul anamdharau LEMA kupita kawaida, anamuona LEMA ni mshamba na poyoyo hasa baada ya kutetemeka alipopewa maburungutu ya pesa za damu. Mange amedai pamoja na Lema kumtusi na kumuita Mpumbavu bado heshima yake iko pale pale na kwamba Abdul ana muheshimu yeye Mange kimambi kupita kawaida. MANGE amedai Abdul alivyomfuata huko Marekani aligoma kuhongwa, alisimama kidete ila LEMA kanunulika.

Amedai kuwa LEMA akiziona hela za Abdul anatetemeka mpaka Abdul anamuona mshamba, anamcheka na kumuona popompo. Mange amedai kuwa Abdul ambaye ameishia darasa la nne amemteka LEMA kiakili kiasi LEMA amekuwa poyoyo. Kile ambacho Lema anaita ni Strategic Engagement ni janja tu maana ameshafika bei.

My take: Mange ameacha maswali ya msingi sana.
Je, imekuwaje chama kinachodai haki na sheria, mmoja wa viongozi wake anaenda kuomba huruma kwa wale wale wanaotakiwa kuwajibika kwa mujibu wa sheria?

Basi watu watafakari, wakisema: Je, haki hudaiwa kwa sheria, au hutegemea huruma ya wenye mamlaka?
Hakuna taasisi itakubali mmoja wao afanye lobbying kivyake tofauti na msimamo wa Taasisi bila kuihusisha Taasisi yenyewe. LEMA hana cha kujitetea hapo.
 
Back
Top Bottom