denoo G
JF-Expert Member
- Apr 4, 2026
- 1,602
- 4,988
Hakuna pointi unayotetea unaandika pumba tu.Hakuna a point uliyo ongea, bado unaongea pumba tu...
Unaijua misingi ya chadema na Lissu mwenyewe?
Unafikiri Lissu angekuwa hajafungwa angemchagua Lema au mange? Kutokana na misingi ya chama?
Kuwa na akili basi
Lissu katoka wapi kwenye huu umbea wa Mange?
Unazungumzia misingi ya Chadema kwenye umbea wa Mange!
Acha umama mtoto wa kiume utaolewa.
Wewe siku zote unaonekana mapepe tu, sikushangai kumtetea Mange!