Mange Kimambi amemponza Dr. Mwele Malecela?

Mange Kimambi amemponza Dr. Mwele Malecela?

Hakuna dhana ya kuondolewa Dr Mwele na Mange Kimambi,kumbuka waliotumbuliwa so far ni wengi na wengine wengi watatumbuliwa bila ya kuwa na uhusiano na Mange.

Je Kitwanga(Mambo ya Ndani),Mafuru (Hazina),Kazaura(TTCL),Dr Likwelele (Wizara ya Fedha),Bashe (TRA) walikuwa na uhusiano na Mange?
Kwani yeye kasema kila anayetumbuliwa lazima ana uhsiano na Mange? Dhana yake yaweza kuwa useful kwa dk mwele isiwe hivyo kwa hao wengine.Hakuna ulazima wa visababishi vya phenomenon moja kufanana na visababishi vya phenomenon nyingine .,ingawa yaweza kutokea vikafanana lkn siyo lazima vifanane.
 
Kosa alilotumbuliwa Dr Mwele ndio kosa alilotumbuliwa Mafuru hakuna uhusiano na Mange kutumbuliwa kwake
 
Kosa alilotumbuliwa Dr Mwele ndio kosa alilotumbuliwa Mafuru hakuna uhusiano na Mange kutumbuliwa kwake
Mafuru tuliambiwa alipingana na mamlaka aliyomteua, sasa na Mwele naye alipingana na Mamlaka iliyomteua?
 
Ule utafiti wa watu waongo na wanafiki zaidi unaweza kuwa kweli
 
Kuna baadhi ya watu wamezikabidhi akili zao kwa huyu Dada anayeitwa Mange Kimambi.

Mbaya zaidi unakuta mtu ana watoto wanaomtegemea kifikra katika makuzi yao lakini yeye anaishi kwa kutumia fikra za Mange Kimambi.

Hii nchi ina matatizo zaidi ya tunavyodhani.

Kinachoshangaza zaidi, huyu mwanamke eti anataka freedom of expression lakini watu wakitoa maoni tofauti na fikra zake anawa block kwenye page yake. Freedom of expression kwa wengine lakini kwake hapana. This is fun to say the least.

Hafahamu kuwa freedom of expression goes both ways.

Your observation is on point.
 
Interesting....

nilijua by now tungekuwa 'Taifa la viwanda'
kumbe tupo hapa...dah

I don't think you are that naive Bossman...

I think you know/ knew better than that.

Hivi kweli kabisa unadhani hata kama Lowassa angeshinda hali ingekuwa tofauti sana na ya sasa?

Binafsi sikutegemea yoyote yale mapya yaliyo drastic.
 
Labda hukunielewa
my point ni kuwa kwa serikali iliyosema italeta Tanzania ya viwanda
angalau leo tungekuwa basi hata na mijadala tu ya viwanda zaidi
kuliko mijadala ya Mange kamponza nani...

ni almost ni sawa na kusema 'how low can they go'?
 
Ngoja niishie hapa sikutegemea kama utakuwa na argument za namna hizi
Wewe umejenga taswira kwamba Dr. Mwele alipingana na mamlaka iliyomteua kuhusu suala la ZIKA. Kwenye hoja hii ni kwamba ni Lazima Ummy Mwalimu kama waziri wa Afya angesema kwanza hakuna ZIKA halafu Dr. Mwele akaseme kwamba kuna ZIKA ndiyo itakuwa kwamba amepingana na mamlaka iliyomteua. Sasa tangu Ummy Mwalimu aseme hakuna ZIKA ulimsikia ama umemsikia Dr. Mwele akisisitiza kwamba kuna ZIKA?
 
Kwahiyo Le mutuz na Mange ni ni ndugu?
Hawana undugu.
Dr Mwele na Le Mutuz wamezaliwa baba mmoja mama tofauti.
Marehemu baba yake Mange.. Mzee Kimambi alikuwa amejiweka kwa Dr Mwele (sina uhakika kama walifunga ndoa) baada ya mama yake Mange kufariki.
 
Wewe umejenga taswira kwamba Dr. Mwele alipingana na mamlaka iliyomteua kuhusu suala la ZIKA. Kwenye hoja hii ni kwamba ni Lazima Ummy Mwalimu kama waziri wa Afya angesema kwanza hakuna ZIKA halafu Dr. Mwele akaseme kwamba kuna ZIKA ndiyo itakuwa kwamba amepingana na mamlaka iliyomteua. Sasa tangu Ummy Mwalimu aseme hakuna ZIKA ulimsikia ama umemsikia Dr. Mwele akisisitiza kwamba kuna ZIKA?
Kumpinga mtu sio lazima yeye aanze kusema wewe ukifuatia ndio ummempinga,kama utakuwa unapingana na anachokiamini boss wako wewe unahesabika umempinga regardless nani alianza kuongea.Ukifanya kazi na wanasiasa unapaswa kufahamu hilo

Zito alipingana na Mbowe akatoswa,Mafuru/Mwele/Kazaura/Kilango/Ntibenda na wengineo wengi walipingana na boss wao JPM amewatosa
 
Your observation is on point.
Mimi sitaacha kuilaumu serikali ya CCM katika suala la elimu kwa sababu imechangia kwa kiwango kikubwa katika kudumaza fikra za watanzania wengi.

Unakuta kundi kubwa la watu waliokabidhi akili zao kwa huyu Mange ni vijana wenye elimu mpaka ya ''chuo kikuu'' kutoka kwenye vyuo vilivyopata usajiri nchini. Mbaya zaidi kwa vile wana elimu ya chuo kikuu hawajui kama uwezo wao kifikra ni mdogo.

Jaribu kuchunguza hata michango ya watu mbali mbali hata hapa jamiiforums ambao wamefudhu elimu ya ''chuo kikuu'' nchini. Uwezo wao katika kuchambua masuala mbali mbali uko chini sana.
 
Unachosema ni kweli kabisa aisee.

Yaani wanamwona huyo dada eti ni 'kichwa'.

Mbona mimi sioni chochote kile alichonacho [kiakili] kilicho extraordinary?

Au labda mimi kwa vile ni 'kilaza' ndo maana siwezi kuuona huo 'ukichwa' wake?

Manake sijawahi kuona la kipekee ambalo kalitolea maoni ambayo wengine hawajawahi kuyatolea.

Kama ni 'ukichwa' wake ni katika kuiponda CCM, mbona bado sijaona jipya?

Wengine tupo humu kwenye mitandao tokea miaka ya 90 tukiiponda CCM na binafsi sijawahi kabisa kuona lililo jipya alilolisema yeye ambalo wengine hatujawahi kulisema.

Ila ndo hivyo....watu tumezidiana viwango vya akili.
 
Back
Top Bottom