Mange Kimambi amemponza Dr. Mwele Malecela?

Mange Kimambi amemponza Dr. Mwele Malecela?

Suala au ishu ya mama pale mjengoni kutaka kuresign ulikuwa unalijua kabla?

Ishu ya bimkubwa kuchezea kichapo hadi akalazwa uliijua before..?

Kaka hayo maneno yalivuma chinichini na kulikuwa hakuna mtu wa kupayuka, kama wewe hukusikia basi wengine walishayasikia,
Alichofanya Mange ni Kuongea bila kuogopa chochote, na vyote anavyoongea vingine havina ukweli, watu wa kila aina wanamtumia info aropoke
 
Mange anafanya upumbavu wake na Mwele kafanya ujinga wake. Hapo ngoma droo.
Mambo ya Dr. Mwele yanamhusu nini Mange? Kama Mange alikuwa anamtukana kaka yake Dr. Mwele Lemutuz itakuwa Raisi Magufuli? Jamani mtu makini hawezi kuchanganya mambo ya Dr. Mwele Malecela na mtoto wake wa kufikia au step child. Mimi ninanavyo muona Mange siyo rahisi kumshauri aache mambo yake ya uharakati. Na mimi najua kabisa kwamba Mwele Malecela anasupport mambo mengi mazuri ambayo huyu raisi anafanya hasa ya ufisadi, ila tu cha kushangaza hataki watu wawe independent, jamani hata Julius Kambarage Nyerere hakuwa hivyo. It is so sad.
 
Unachosema ni kweli kabisa aisee.

Yaani wanamwona huyo dada eti ni 'kichwa'.

Mbona mimi sioni chochote kile alichonacho [kiakili] kilicho extraordinary?

Au labda mimi kwa vile ni 'kilaza' ndo maana siwezi kuuona huo 'ukichwa' wake?

Manake sijawahi kuona la kipekee ambalo kalitolea maoni ambayo wengine hawajawahi kuyatolea.

Kama ni 'ukichwa' wake ni katika kuiponda CCM, mbona bado sijaona jipya?

Wengine tupo humu kwenye mitandao tokea miaka ya 90 tukiiponda CCM na binafsi sijawahi kabisa kuona lililo jipya alilolisema yeye ambalo wengine hatujawahi kulisema.

Ila ndo hivyo....watu tumezidiana viwango vya akili.
she's just a good liar and manipulator to people who are dummy.

Inashangaza kusoma sifa anazopata lakini anachokiandika au kukitenda hakiendani na sifa anazopewa.

Unakuta mtu anakuambia, ''unabisha nini wakati Mange ametuambia''. Yaani Mange amekuwa kama alfa na omega kwa baadhi ya watu kwenye masuala mbali mbali.
 
she's just a good liar and manipulator to people who are dummy.

Inashangaza kusoma sifa anazopata lakini anachokiandika au kukitenda hakiendani na sifa anazopewa.

Unakuta mtu anakuambia, ''unabisha nini wakati Mange ametuambia''. Yaani Mange amekuwa kama alfa na omega kwa baadhi ya watu kwenye masuala mbali mbali.
Unabisha nini wakati Mange katuambia

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kuna bifu kati ya Mange na Le Mutuz. Hivi bifu la Mange na Le Mutuz halimuhusu dada wa Le Mutuz (Mwele)??!
 
Hivi mama yake mzazi huyu dada mange ni nani? Naona leo huko insta anasimulia story ila mama ake ningependa kufahamu
 
Back
Top Bottom