Mange Kimambi afungua Apps ķatika playstore Android!!

Samahani kukukwaza, natumaini wewe ni mwanamme uliokamili na unajitambua. Inakuwaje inafuatilia masuala ya changudoa asiye na faida na taifa na asiyejitambua? Mwanamme mwenzangu, uko sawa lakini? Jichunge usije ombwa kushikishwa ukuta, ohooooo, usiseme sijakuonya.
Kisa tuu chama kile kile ndo unamchukia mange?

Amin nakwambia watz wamepata mtu atakayewapazia sauti matatzo yao, ambapo mengine ni yakiinterejensia hauwezi yatoa ukiwa unatumia mtandao wa wazi hapa nchini, maana unaweza ishia ununio, ila mange ndio speaker maana bwana yule na wenzie huko hawana ubavu nako, kama hutaki jiue.
 
Kama zipi hizo sijawahi sikia chochote cha msingi kapatia zaidi ya udaku na umbea na mijitu mijinga inaamini. Mwanaume Lazima uwe chakula kumuelewa huyo demu

Kumbe na wewe unamfatilia? Basi wewe ni bwabwa kabisa.
 
Kipo kingi hakika. Mtu makini hawezi mfuatilia wala kumchukulia Mange seriously
weeeeeeeeeee najua unaandika kwa aibu sana hapa ulipo kifupi mange anaihanyisha hii serikali balaa sema haina cha kufanya laiti angekuwa hapa angeshauwawa kama nanihii
 
Serikali yangu ilinikera ilipotoa barua ya kukanusha kujiuzuru kwa Makamu wa raisi.Ina maana humu kuna watu wanatutukania viongozi wetu kuwa ni chakula maana walishawahi kuingia kwenye battle na Mange.
 
Hahahaha kwa kweli!
hahaha habari zote za mange zinaihanyisha serikali anzia ile ya daudi bashite kwani takukuru wamemuitia nini christian makonda kumuhoji si mange ndo alimlipua daudi bashite
 
I usually don't waste my time in speculating Mulhat Mpunga! Mtu anaye nipa hizo habari huwa naangalia character yake! Kwa hiyo siwezi kubishana na wewe pia, let us agree to disagree bye bye
 
hahaha idiot,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,, ati dont waste ur time unajipotezea mwenyewe hiloo kj
 
Kama zipi hizo sijawahi sikia chochote cha msingi kapatia zaidi ya udaku na umbea na mijitu mijinga inaamini. Mwanaume Lazima uwe chakula kumuelewa huyo demu
Mbona naona neno chakula sioni fact yako ya msingi ni ipi
 
Samahani kukukwaza, natumaini wewe ni mwanamme uliokamili na unajitambua. Inakuwaje inafuatilia masuala ya changudoa asiye na faida na taifa na asiyejitambua? Mwanamme mwenzangu, uko sawa lakini? Jichunge usije ombwa kushikishwa ukuta, ohooooo, usiseme sijakuonya.
Wewe uchi wewe una habari gani au wewe ndo naniriyuu?
 
Back
Top Bottom