KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,680
- 8,867
Nimeingia kwenye page yake nimekuta ameweka tangazo la Apps yake nikaenda Playstore nikakuta hiyo Apps ipo nimejisajili ila sasa inakubidi uwe na dollar moja kwa kuweza kupata subscription kwa mwezi nikaishia hapo labda hiyo ya tigo na mpesa ndo atatupata watanzania walio wengi ila kutumia visa au mastercard tunaogopa kukombwa vipesa vyetu!
Pia nimshauri picha aliyoiweka ile ya pink aibadilishe
Na nimeona pia mangekimambi daily ile amesema siyakwake.
Nimtakie kila la heri.
Pia nimshauri picha aliyoiweka ile ya pink aibadilishe
Na nimeona pia mangekimambi daily ile amesema siyakwake.
Nimtakie kila la heri.