Freelancer
JF-Expert Member
- Sep 22, 2008
- 2,950
- 2,149
umeingia anga za mtusi leo 😀😀😀Samahani kaka wa mitusi nilitereza.![]()
![]()
![]()
![]()
umeingia anga za mtusi leo 😀😀😀Samahani kaka wa mitusi nilitereza.![]()
![]()
![]()
![]()
Samahani naingilia mazungumzo yenu kuuliza si ujinga. Hivi ile operation UKUTA iliyoitishwa na Chadema lengo lake lilikuwa kuwashikisha wanachadema kwenye ukuta kama ulivyoelezea?
Kwa maelezo yako wanawake wakoje vile.
Wewe uchi wewe una habari gani au wewe ndo naniriyuu?
Hamna namna, lazima afyeke kila kitu ktk mifuko ya nyumbu!
Kwa hiyo followers 1.1m unawaona ni mbulula ila wee ndio mjuaji?.Kipo kingi hakika. Mtu makini hawezi mfuatilia wala kumchukulia Mange seriously
Mwanaume acha kujihusisha na Mange na udaku, hizo ni dalili za ubwabwa. Sijali ana followers wangapi wanaume wote wanaojihusisha nae wanaudada ndani yaoKwa hiyo followers 1.1m unawaona ni mbulula ila wee ndio mjuaji?.
Wakati hata serikali inakesha kwenye mtandao wake kujibu mapigo yake na hata kuzuia malipo toka kwa mashabiki wake.
Nadhani hiyo Mambe Kimangi ni moja ya wale wabunge wa Zanzibar waliovuliwa ubungeHivi Mange ni nani? namsikia sikia sana siku hizi
hata mimi aliniblock kwa sababu hiyo hiyoMm mwenzenu huyo Mange alishaniblock mara 4 na mafekero yangu ya instagram. Mambo huwa anajiandikia mwenyewe whatsap then anasahau anapost hivyo hivyo ikiwa green ukimwambia anafuta faster then anakupa block