Rayban/p
JF-Expert Member
- Jun 30, 2015
- 1,270
- 920
Nawe kiazi tenaa mbatata ambae chanzo chake cha habari ni lemtumboHadi humu mpo ambao chanzo chenu cha habari mange? Kweli watanzania wengi viazi
Nawe kiazi tenaa mbatata ambae chanzo chake cha habari ni lemtumboHadi humu mpo ambao chanzo chenu cha habari mange? Kweli watanzania wengi viazi
Bashitee mwenyewe anaki fake id anakitumiaa kuchunguliaa kwa mangeTena wanaume kibao wanamfatilia kisirisiri hlf wanajishaua tu hapa. Hata kama hawampendi wanasoma habari zake![]()
![]()
![]()
Kumbe na wewe ulimfuatilia??? Sasa wapuuzi wanaonyanaSamahani kukukwaza, natumaini wewe ni mwanamme uliokamili na unajitambua. Inakuwaje inafuatilia masuala ya changudoa asiye na faida na taifa na asiyejitambua? Mwanamme mwenzangu, uko sawa lakini? Jichunge usije ombwa kushikishwa ukuta, ohooooo, usiseme sijakuonya.

Samahani kaka wa mitusi nilitereza.Kuna system gani nimeipaka matope hapo? Hivi kumbe ' Mafia ' nao huwa ni System? Jitahidi upunguze kidogo ' upumbavu ' ulionao Kichwani na kwa taarifa yako tu huyu Dada sasa hatafutwi tu na hao unaowahisi Wewe sasa vita yake imeingizwa hadi kwa ' Drug Barons ' ambao wengi wao ndiyo huwa ' Mafia ' wakubwa na ndiyo hao Mimi nilikuwa nawalenga. Ninapokuwa humu JF huwa najua nafanya nini kwahiyo acha na ukome kabisa kunilisha maneno tafadhali. Nimemaliza!

Hao wajinga ndiyo wata-subscribe kwa dola 1. Kwa kitu gani kupata habari za umbea? Hata bure siwezi kudownload app ya kijinga kama hiyo.Nimeingia kwenye page yake nimekuta ameweka tangazo la Apps yake nikaenda Playstore nikakuta hiyo Apps ipo nimejisajili ila sasa inakubidi uwe na dollar moja kwa kuweza kupata subscription kwa mwezi nikaishia hapo labda hiyo ya tigo na mpesa ndo atatupata watanzania walio wengi ila kutumia visa au mastercard tunaogopa kukombwa vipesa vyetu!
Pia nimshauri picha aliyoiweka ile ya pink aibadilishe
Na nimeona pia mangekimambi daily ile amesema siyakwake.
Nimtakie kila la heri.
mi mwenyewe nawashangaa ndo maana jamaa hapo juu kawaita wote wanaomfwatilia ni vyakula kweli sio bure.Hadi humu mpo ambao chanzo chenu cha habari mange? Kweli watanzania wengi viazi
We mwenyewe unamfatilia umejuaje kama anayezungumziwa ni mange?unajifanya humfatilii wakati umekimbilia kuufungua uzi unaomhusuKipo kingi hakika. Mtu makini hawezi mfuatilia wala kumchukulia Mange seriously
Maana yake ni KITAFUNWA....au KITAFUNIO.. kwamba VIDUME vinapata STAREEEEE...au VINAKUHEMEA KICHOGONI...Msaada... mtu kuwa chakula ni nini maana yake?
Kipo kingi hakika. Mtu makini hawezi mfuatilia wala kumchukulia Mange seriously
Alikuwa na Tangazo la Voda, tatizo akawa anatoa mfululizo wa Matusi na Michambo wakaachana nae kumsponsor na kiblog chake kikafaHichi kibibi gagula blog yake ilimshinda kisa ukata..naona amekuja na style mpya ya nitoke vipi!! wanaomchangia wana moyo kweli!!
Hakuna kauli inayonikelaga kama akisema yeye eet mtetezi wa wanyongee ha ha ha ha h aHadi humu mpo ambao chanzo chenu cha habari mange? Kweli watanzania wengi viazi