Mange Kimambi afungua Apps ķatika playstore Android!!

Mange Kimambi afungua Apps ķatika playstore Android!!

Kama zipi hizo sijawahi sikia chochote cha msingi kapatia zaidi ya udaku na umbea na mijitu mijinga inaamini. Mwanaume Lazima uwe chakula kumuelewa huyo demu
Wewe unamfatilia Mange acha kujishaua, umejuaje kwamba hapost vitu vya msingi kama humfatilii??
 
Kama zipi hizo sijawahi sikia chochote cha msingi kapatia zaidi ya udaku na umbea na mijitu mijinga inaamini. Mwanaume Lazima uwe chakula kumuelewa huyo demu
Mbona hasira? Kusoma ni hobby..sio mbaya kusoma na kuchukua tahadhari.
 
Kama zipi hizo sijawahi sikia chochote cha msingi kapatia zaidi ya udaku na umbea na mijitu mijinga inaamini. Mwanaume Lazima uwe chakula kumuelewa huyo demu
Mimi sio chakula lakini ninamuelewa sana huyu dada.. labda kwa sababu mimi sio ccm..
 
Classified docs??!! Mfano doc ipi? Labda classified insta dms na whatsapp texts
 
Mwanamme mwenzangu, uko sawa lakini? Jichunge usije ombwa kushikishwa ukuta, ohooooo, usiseme sijakuonya.
Samahani naingilia mazungumzo yenu kuuliza si ujinga. Hivi ile operation UKUTA iliyoitishwa na Chadema lengo lake lilikuwa kuwashikisha wanachadema kwenye ukuta kama ulivyoelezea?
 
Mbona hapa jf kuna habari za maana yan full information huko kwa Mange dume zima unafuata nn..... Huo ni uchakula tuu uchoko umemaliza vijana hapa nchin
 
Namjua ila simfuatilii na wewe kama mwanaume nakusihi achana na kina Mange. Hebu toa mfano mmoja tu wa story yake yenye mashiko, hivi Ndo huyu alisema Kinana katoka CCM?
Acha uboya ulimfaham vp kama hukumfwata wewe kama unaona story zake hazina mashiko piga kimya.
 
Back
Top Bottom